Kwako Rais Magufuli sasa pasipo na kupepesa maneno: Kwa unavyoshughulika na Corona sasa - NO!

naiona lockdown inakuja muda siyo mrefu kulingana na idadi ya corona kati ya leo au kesho, maana kwa zanzibar ni 23 maambukizi mapya sijui kwa bara itakuwaje?
au ndo tuseme corona imeisha
 
Kila siku anasema kwenye urais alisukumizwa tu kwamba haikua hiari yake. Unategemea mtu kama huyo ataweza ku deliver kwa standard za kueleweka kweli ?
 
Sawa ndg we nenda kazurure hujanyimwa, utapata msosi corona na utashibisha na familia yako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulaya na China walikuwa hawana hivi vitu tena vyenye quality ya juu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoamua kuchukua hatua zako usianze kujilinganisha na watu wengine, ikiwa china na ulaya wana ubora katika kila kitu iweje vifo viwe vingi kwao kuliko Africa ambako huduma ni duni. Ulishajiuliza kwa nini maskini anaweza asikanyage hospitali kwa miaka kumi, lakini tajiri kila wiki yupo kwa daktari...
 
Mleta uzi unapodai lockdowns vile vile dai na mikakati ya kiuchumi kuwasaidia hao mnaotaka wafungiwe ndani!!
Msipokuwa makini njaa, sonona n.k vitaua watu wengi zaidi ya #Covid-19

Mkuu sisi siyo wa kwanza. Wenzetu wapo hapa hapa si mbali wala.

Kenya, Uganda na Rwanda - wenzetu katika East Africa. Wengine katika hao uchumi na raslimali zao mbovu kuliko sisi.

Huu ugonjwa unaouwa. Kulikuwa na uzi humu muda:

Hoja za wanaoona lockdown haifai ni zipi? Tuelimishane - JamiiForums

Hakukuwa na hoja yoyote nzito ya kupinga hili. Kama unayo tupe.
 
Kwan mmesahau kauli ya Mh Ummy Mwalimu kabla hata ugonjw hujaingia alivyosema?
" Huu ugonjwa ni hatar sana laiti ukiingia ktk nchi yetu hatuna uwezo wa kukabliana nao" mwisho wa kunukuu.

Tujiandae kwa lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu unasomeka. Ila sasa inamaanisha walisema ukiingia basi kila mtu asubiri siku yake?

Kama ni hivyo wanasubiri nini? Labda kama unasema ni muda wa kuwa na manahodha wengine?
 

Usifanye lockdowns kwa sababu wengine wanafanya... Kuna mahali nimesoma jinsi Rwanda na Uganda walivyokaribu na familia na ndugu waliopo kwenye lockdowns kwa misaada na auweni/nafuu ya hapa na pale kwenye maisha yao ya kila siku!!
Please mnaposhauri njia/hatua mshauri na tahadhari ya hizo njia/hatua...
Mimi sipingi... Lakini pia sikubaliani na lockdowns za matamko matamko bila kujali hali halisi za watu...!!
Tutakatisha maisha ya wengi!!

Kuna mahali niliandika...
Sisi tutavaa barakoa na kunawa mikono...
Hatutashika midomo, pua na macho... Lakini serikali ifanye makubwa zaidi!!
 
Kwani huko USA unadhani hakuna wajinga kama wew ? Kwahiyo U.S.A wajinga wakiandamana basi na hapo Lumumba uvccm buku7 mnawafuata nyumbu wenzenu kutoka nje kuwa Corona haiuwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…