Kwako Rais Magufuli sasa pasipo na kupepesa maneno: Kwa unavyoshughulika na Corona sasa - NO!

Kwako Rais Magufuli sasa pasipo na kupepesa maneno: Kwa unavyoshughulika na Corona sasa - NO!

Vigezo vinakidhi kabisa huyu jamaa kuachia ngazi!!
 
Hehe Chadema mnafurahisha kweli

Mara Hatutaki lockdown mara Tunataka lockdown

Ndio maana hakuna anayewasikiliza maana hamueleweki mnataka nini
Wewe bado tumekuacha kwenye siasa za ccm na chadema mpaka afe nani ndiyo utashtuka,hali ni hatari ni hatari tusipo paza sauti tuta kufa tutaisha,ukweli utatuokoa
 
Hakuna mtanzania yeyote timamu anayetaka lockdown, Watanzania wanataka uwajibikike kama Rais wao, Watanzania wanataka uwazi wa wagonjwa wangapi wanakufa na wangapi wanaumwa? Watanzania wanataka kujua pesa za misaada ziko wapi? Watanzania wanataka kujua vifaa vilivyonunuliwa viko wapi?

Watanzani labda ungewaambia kwanini umejificha? Watanzania wanataka kujua kwa nini madoctor wanakimbia wagonjwa ? Watanzania wana haki ya kujua yote hayo?

Kama tatizo hakuna tanganza kuanzia leo kazi zote ziendelee kama kawaida.

Fungua shule, Rudi Ikulu uchape kazi au jiuzulu watu wanakufa wanateseka hospitali bila huduma zozote wewe umejificha haileti picha nzuri.

Magufuli unatushangaza sana sisi ndugu zako nakuomba achia Ikulu kama hauwezi kusimama na watanzania kwenye majanga ya Kitaifa.
Heheheheh umekunywa chai kijana

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Acha hofu chapa kazi,corona sio tishio km malaria Mkuu
Wewe bado tumekuacha kwenye siasa za ccm na chadema mpaka afe nani ndiyo utashtuka,hali ni hatari ni hatari tusipo paza sauti tuta kufa tutaisha,ukweli utatuokoa
 
Machungu wanayoyapitia maraisi wote Duniani ni zaidi ya hicho ulichokiandika hapo mkuu, na ndiyo Maana kunawengine Hadi wanatoa machozi kulia Kwa nini yanatokea haya?

Raisi ni mwakilishi wa kila kitu, kila kitu kikienda vibaya ni wa Kwanza kutaka kukitafutia ufumbuzi ili watu wake wapate Amani, lakini kuna mambo mengine na ni lazima tukubaliane kwamba ni magumu hayako chini ya uwezo wa kibinadamu kama hili la Corona, ni kila Kona ya Dunia bado wote wanatapatapa Tu, hakuna hata mmoja wa kujivunia hili

udhaifu unaweza kuwepo namna ya hatua kufanyika lakini haiondoi ukweli kwamba Maraisi popote pale walipo ndio wanaoumizwa zaidi na janga hili mioyoni mwao hasa wanapoona mamia Kwa mamia ya raia zao wanakufa na hakuna tiba, hivi unajua inaumiza Sana mkuu na hata angelikuwepo unayetaka awepo bado hawezi kufanya muujiza Kwa unaoutaka wewe,

ni kweli naungana na mtoa mada Baadhi ya mambo, Ila swala la Corona kama Dunia haijapata tiba, jilinde kadri uwezavyo ili Tu usiambukizwe, ni janga na ni pigo haswa ktk Dunia hii ya leo

Tanzania imekabidhiwa Kwa Mungu, kazi yetu Sisi kuongeza Imani na kumwamini Mungu
 
Hehe Chadema mnafurahisha kweli

Mara Hatutaki lockdown mara Tunataka lockdown

Ndio maana hakuna anayewasikiliza maana hamueleweki mnataka nini
Niliona mahali ulishauriwa kuwa unapokuta mijadala ya kutumia akili wewe ishia kusoma tuu lakini naona ushauri huo umeukataa. Shauri yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amka kutoka usingizini. Ulikesha unaleta maombi janga hili liingie nchini. Sasa umefurahi? Bavicha mna utoto sana. Siasa mpaka kwenye magonjwa.
Wafanyao siasa kwenye magonjwa mbona wanajulikana!
Screenshot_20200427-081022.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehe Chadema mnafurahisha kweli

Mara Hatutaki lockdown mara Tunataka lockdown

Ndio maana hakuna anayewasikiliza maana hamueleweki mnataka nini
Naona CHADEMA inaishi ndani ya ubongo wako bila kulipa kodi!
 
Maandiko matakatifu yanasema mchungaji mwema in yule ambaye yuko tayari kuutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo,huyu ndio mchungaji mwema,lakini yule aonaye mbwamwitu anakuja kisha yeye akakimbia akaacha kondoo wakatawanya na mbwa mwitu sio mchungaji mwema,ni mchungaji wa msharaha.magu lazima ajipime anapokimbilia chato huku watu wakimalizwa na korona anamaana gani,atakuwa katika kundi LA wachungaji wa mishahara,kondoo (wanacnchi) sio kipaumbele chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom