Kwako Single Mother, naomba nafasi tulee huyo mtoto, nitakuwa baba bora mwenye upendo hutoamini

Sister,kajitokeza mtu hapa ukikosa nafasi usije ukasema sikukupa taarifa.
 
sorry napenda kujua wewe una umri gani?? maana MTU anaweza kujitokeza ikawa age difference kubwa sana atiii
 
Kuna mmoja namfahamu yupo desperate sana.

Ngoja nije PM nikupe jina na contacts zake.
 
sorry napenda kujua wewe una umri gani?? maana MTU anaweza kujitokeza ikawa age difference kubwa sana atiii
Hi, mie ni mtu mzima, hivyo usihofu...ila kutaja exact number kwasasa bado mapema mno maybe njoo inbox. Thanks
 
Kama unalifanya hili kwa nia njema na iwe kheri kwako na kwenye mipango yako.......!!

Ila kama unafanya hili kwa malengo mabaya au kudhihaki....laana ya kila chozi la atakayelia kwa ajili yako ikuandame wewe na kizazi chako......

Amen......
Amina.
Ni kwa nia njema na mapenzi ya moyo wangu na Bwana ameshabariki maamuzi yangu.
 
Uziri wa single mother wengi wanajielewa na wanayajua maisha na hawataki kurudia makosa yao! Hivyo wanafaa kuwa wake!
Tangu niliposoma ule uzi unaohusu watoto waliolelewa bila baba walivyoathirika kisaikolojia na jinsi walivyo na chuki na baba zao nimekuwa sina pingamizi la kumuoa single mother ili mradi tunapendana for the sake of the child
 
WEWE NI SHIDA KWELI,UNAMUUZIA MWENZIO USED ,AJE AKULAUMU BAADAE....HAHAHAHAHA
 
"siyo kweli nyakati zote huwa hivyo,gusa unase"
 
Kama unalifanya hili kwa nia njema na iwe kheri kwako na kwenye mipango yako.......!!

Ila kama unafanya hili kwa malengo mabaya au kudhihaki....laana ya kila chozi la atakayelia kwa ajili yako ikuandame wewe na kizazi chako......

Amen......

Kaka yangu yuko very serious katika hili swala mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…