Kwako Single Mother, naomba nafasi tulee huyo mtoto, nitakuwa baba bora mwenye upendo hutoamini

 
Kila la kheri mkuu Ila nivyema ukawawekea age limit
 
 
Penigne dada yangu alikuwa amebanwa kidogo. Don't mind.
 
Nimekutumia namba za Mchepuko wangu ambae anamtoto wangu ni single mother so itakuwa vizuri kulea mtoto wangu
cheki PM kuna namba nimekutumia
Ubarikiwe sana
 
Du! Kwa hiyo unamkuwadia mpenzi wako ili nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…