Kwakweli nilimpenda, angekuwa mvumilivu ningemuoa

Dah, Mimi kiukweli nitaoa katoto ka kisabato kalikotulia kalikomaliiza form four.......
Kuna moja hapa imetoka form six ya kisabato inaleta stori za mpaka ndoa ndo ichakatwe dah
 
Kaishakuona wewe ni POPOMA, kiazi kwake hupindui acha akupindue pindue.. Msilete uzungu uzungu kwa mijanamke haijielewi..

Treat mwanamke kwa vile anavyojileta kwako, akikuchukulia danga we mfanye malaya wako. Fanya 3 times yake.

Nakubari mwanangu
hii coment imekaa kibabe
mwanamke anafuata pesa
na mimi nafuata K*MA
ipo hivyo yaani
DUNIA ya sasa ukijifanya we mtu SAFI kwa wanawake watakuendesha na kukupa UCHIZI
inachotakiwa ni kukomaa nao hvyohvyo
nipe ELA nipe K*MA
 
Heyy!!! Man Down!
 
Kazaroho achana naye yupo mwingine mzuri zaidi yake mtayewezana.
Alitoka kwako kwa kuwa hakuwa wa kwako. Fanya maombi shirikisha waliokuzidi umri, angalia option ya kuoa kijijini/kwenu. Fuata moyo wako.

Asante sana kwa ushauri nashukuru mkuu
 
Subiria hata ipite wiki- wewe utarudi tu-kuna mbususu akili inatamani kuziacha lakini mwili na roho vinakataa [emoji28][emoji28][emoji28]
Kama haujawahi kupigwa na matukio ya mara kwa mara na vitu vizito (UVULANA) ni kweli kabisa, ila kwa waliopitia ugumu wa hapa na pale mara nyingi mioyo yao hufa ganzi kabisa na kuwa na roho ngumu kimaamuzi (UANAUME).
 
Na ndio hatua nimefikia mkuu
 
Broh, kuna vitu havijakaa sawa kwenye maelezo yako. Demu alikuwa wako wewe au ulimkuta na jamaa mwingine then ukafosi kuingia?

Anagongwaje nje, then wewe unajua na kuamua kupotezea?

Alaf hiyo screenshot uliyotuma kabla ya msg hiyo, alituma msg zipi?

Nasubiria majibu.
 
Unaachwa mara tatu na wewe upo tu unamrudia. Yaani huyu mwanamke pamoja na wewe hauna msimamo. Kazini tu kwenyewe ukiacha kazi hakuna mwajiri ndio nitolee huwezi kirudi tena. Kwani hakuna wanawake wengine?
 
Mimi nikiachana na mtu siwezi kurudiana naye. Kuna makosa ambayo ukinifanyia nikajua, nakuacha. Usaliti na nikathibitisha na kukosa uaminifu kwenye suala la hela na asserts. Msaanii mmoja aliimba kwani kuachana sh.ngapi.
 
Ila kwa kweli ujengewe mnara amegongwa bado unampitia bado unampenda wenzako missed call kadhaa tu hupokei risasi za uso[emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nikiachana na mtu siwezi kurudiana naye. Kuna makosa ambayo ukinifanyia nikajua, nakuacha. Usaliti na nikathibitisha na kukosa uaminifu kwenye suala la hela na asserts. Msaanii mmoja aliimba kwani kuachana sh.ngapi.
Huyu jamaa ndiyo kosa alilofanya kurudiana naye
 
Eti Kapepo kwa maelezo hayo angevumilia ungeoa mmmh! Gari likijaa shuka kituo Cha nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…