Wanawake wako smart sana hasa ukute mwanamke anaejitambua
Wanawake wanajua sana kutembea na muda
Katika tafiti zangu mwanamke huwa na wanaume wawili au hata watatu anataka kuolewa na wote anawapima na atakaechukua jimbo
mambo haya huyafanya kwa usiri wa hali ya juu
Sasa anaweza akakupenda ila akiona hueleweki eleweki unalia lia tu kila cku mipango isiyotekelezeka
kinachofuata unachezea kitu kizito kichwani
nilikutana na hii situation 2018
demu alinipenda mpk alikuw ananihonga pesa zake
mm ndo nikazingua ahadi za kumuoa japo kweli nilimpenda ila alinipga kitu kizito niliumia sana mpk moyo ukafa ganzi kupenda tena,hahahaaa
Pole sana mwamba