Kwamba Mzee Warioba, Butiku, Shivji, Bagonza, Pengo, Kitima wamelipwa kukataa Mkataba wa DP World?

Unajuwa sio kila anayepinga au kuunga mkono kalipwa hapana sio kweli ila ziko sababu, na nataka kuongelea hawa wazee maana huku nje tumegawanyika sana. Kuna watu walikuwa kwenye mfumo muda mrefu na wanadhani hawapewi heshima wanayostahili wao au kuna chuki dhidi ya CCM ndani ya mioyo yao mfano tu Warioba muda mrefu amekuwa kitu kinamsumbua kajaribu watoto zake wapenyeze kisiasa kapata ugumu halafu akiona watoto wa wenzake wanapata lazima inamuuma nafsi yake pia inamshusha kwa family yake. Ila huyu huyu siku mtoto wake akibebwa tu utasikia kauli tofauti wote wanajali family zao na matumbo tu sio taifa.

Hawa hawa wanaokataa bandari wakati JPM anawapiga spana wazungu kwenye migodi walitoka hadharani na hasa Lissu kumponda JPM huyu anakurupuka ataleta shida na wawekezaji alisimama na wazungu 100% mpaka ndege inashikwa SA wakaanza kumkebei JPM, leo wamekuwa watetezi. CCM kosa walilofanya wao wangeanza na kuikataa DP tu wapinzania wangekuja CCM majambazi hawataki uwekezaji wangefanya wamewasikia wangepata wanachotaka na kukubali. Kuna watu kama watoto tu lazima ucheze na akili zao jifanye hutaki tu watapinga kumbe ndio unakotaka.
 
Hakuna mkataba wowote wa uendeshaji bandari uliosainiwa, ndiyo kwanza makampuni yanashindanishwa na TPA, vijana wanajilia mihela tu huko kila wanapochelewesha.
Wewe ni nani mpaka uongee maneno haya tofauti na speaker wa Bunge la JMT aliyepitisha huu mkataba na kwa maneno yake mwenyewe Speaker Dr. Tulia alisema Bunge limeupitisha MKATABA?
 
Hivi Usalama wa Taifa kazi yao huwa ni Nini haswa kwenye masuala sensitive kama haya mamikataba ya kipuuzi wananyamaza kimya tu. Ukiangalia Bandari ndio mlango wa kiusalama na wapo kimya tu, mnalinda kitu gani?!?
Samahani kwa kusema haya.


Ni mpumbavu tu anaeongelea mkataba wakati hakuna mkataba.
 

Hawakutegemea jambo hili kutoeleweka.
 
Ofcourse nakubaliana na wewe mkuu. Mitazamo ya kijamaa na ubinafsishaji ni paka na panya
 
Unasema kinyume!! Uwezekano mkubwa ni kuwa wale wanaolazimisha mkataba hata kwa gharama ya kubadilisha sheria zetu ili zikubaliane na mkataba wa bandari, hao ndio tuwatilie mashaka kuwa wamekula kitu kidogo!! Ndiyo kwa mwarabu ni kitu kidogo lakini kwa hawa wabongo wenzetu wanaona wamepokea kitu kikubwa!!
 
Kitu wanachoshindwa kujua ni kuwa nani nyuma ya DP .
Je uwekezaji wa mafuta Emirates ulifanywa kwa mtaji wa nani?. Walstreet na who controls it?.
Je wamaamini wapo nje ya mtego wa akina Yared Abihud .
Je the superpower kawaruhusu DP worls wawe na monopoly ya transportation hub in the world wasiwe na maslahi?.
Why this is not proxy war between huha na wasap men?.
Our thinking ipo chini sana.anyway nimevamia thread yako tu as a great thinker.
 
The boss ...

Unazingua HV unajionaga una akili kubwa kuliko watanzania wengine wanao gomea huu mkataba

Una akili Kweli wew
 
Nawew the cost ....

Acha upumbafu
 
Wewe hz hbr umetoa wapi mnk kwa ushabiki wa kijinga uko vzr
Unaonesha huso,i magazeti wala husikilizi taarifa za habari.

Wewe unaingia mitandao ya udaku, nayo pia nadhani huisomi vizuri. Ungekuwa unaisoma basi hata kuandika kwako kusingekuwa hivyo kama unaandikiana sms na mwenzako.

Pole sana kijana, nakuhisi ni kama kondoo unaechungwa na mchungaji aliyepotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…