Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana

Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!

Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,

Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta

February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati

Britanicca
 
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa inamkataa sana

Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!

Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta

February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati

Britanicca
Kabla ya julai 😁😁

Wauane tuu kwani Wanasiasa Wana Msaada gani?
 
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana

Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!

Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,

Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta

February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati

Britanicca
Mkuu,
Mbona lile jambo ulilotabiri kuwa litatokea kabala ya Julai halikutokea?
 
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana

Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!

Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,

Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta

February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati

Britanicca
Acha wauane
 
Hata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

IMG-20250702-WA0028.jpg
 
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana

Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!

Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,

Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta

February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati

Britanicca
Daah Code zako hizi siyo mchezo
 
Back
Top Bottom