The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
britanicca nakuamini. Hebu toa utabiri kamili maana mihtasari mitatu ishatimia.
wengine wata follow the same path, wakishatumika, they will be outWatu wako mbele ya Mda Tulia katumika then kwatupwa
This is November and we have seen enough
Mkuu asilimia kubwa ya ufunuo wako umetiki ingawa si wote, maana mdogo wake Mandera kapita anasubiria uwaziri tuCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Tulia waziri mkuu
Sawa na kuchambia jani la mgombaTulia waziri mkuu
Hili tacle linatufaa sana CHAPUTA
...Daah,sikuelewa maana ya TACLE