Mazee vipi?. Tulia is out of the picture now unless wampe kauwaziri kakufutia machozi.Kwa maelekezo aliyoyatoa Samia kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Mbeya ni ujuha kufikiri kuwa Tulia hatokuwa Mbunge na Spika.
Mleta mada anawachanganyia maboya tu kuwatoa kwenye focus. Yaaani Rais wa IPU aachwe na CCM kwenye ubunge??? Ni mjinga tu ataamini hili.
No Reforms No Election ✊️ ✌️
Katumika kama ndocomWatu wako mbele ya Mda Tulia katumika then kwatupwa
Naona yanatimiaCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
It's him again! Ukute huyu Britanicca ndio msemaji wa mwisho wa vikao vyaoCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana