Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

Si uliona mpango alijikataa mapemaa.. ilaa kassim atarudi 2030 kugombea urais amini nakwambia
Alijikataa au alikataliwa kwa script? Ashindwe kukataa majukumu ya jiwe akiwa ametoka kuponea kifo kwenye uviko aje akatae akiwa fiti we michezo😅😅
 
Unajua nini kilifanya nikalili hili jina Shimba ya Buyenze
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌

Yaani mwamba hana baya
Huyu ndie rais wetu jf humu kwa majukwaa pendwa..

Hana baya hata kidogo...
Kila alipo shimba jua kuna vitu vile vya roho kupenda...

Na kingine kumtenganisha shimba na yutong phantom ni sawa na kutenganisha oxygen na hydrogen from the water . Hii ni ngumu mpka ufanye kitu kinaitwa Electrolysis yaan utahitaji umeme wenye voltage kubwa sana mkuuu
Kwa akili hizi ndiyo maana unaota ukilishwa nyama na kupigwa na watu ukiwa makaburini huko!

Ila Yutongs muhimu sana maishani aisee🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

850574770.jpg
 
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana

Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!

Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,

Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta

February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati

Britanicca
We jamaa bwana ila eniwei 🤣🤣
 
Desert mission lakini kagoma katukatu hata yaharibike vipi na lile gazeti lenu pale JKICC alipokuwa na wale UWT mhariri alimnukuu vibaya.
Mkuu kwahiyo 'brother' hatapata nafasi ya kutekeleza yale majukumu mliompa?
 
Kwa akili hizi ndiyo maana unaota ukilishwa nyama na kupigwa na watu ukiwa makaburini huko!

Ila Yutongs muhimu sana maishani aisee🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

View attachment 3394078
😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵 Yaani shimba mi nataka siku mkeo ashike simu hiyo wallah utalia na kusaga meno 😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂🫵🫵🫵 Yaani shimba mi nataka siku mkeo ashike simu hiyo wallah utalia na kusaga meno 😂😂😂
Mke wangu ni mshikaji mno. Actually akiona yutong ya kueleweka huko kwenye mishe zake huwa anahakikisha anapiga picha halafu akija ananionyesha tunacheka weee na kupiga umbea mpaka tunasinzia. Ukioa rafiki, mtani na mshikaji wako halafu mkaelewana na kuaminiana aisee raha sana....

Nakupenda Mama E.jpg
 
😂😂😂😂😂😂😂😂Daaaaah hiko kichwa kimekutana na kichwa cha namna ile ile wakuuu kueni seriously na mahusiano sasa
 
Back
Top Bottom