Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Kwa msaada wa baadhi ya comment, code zimeshafunguliwaCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Ni kwamba Diblo katelephone ile kusema kwake anarudi ikapeleka ujumbe wa hatari wa "pengine kuja kukataliwa" kwa Zeri la mamazeri, wazee wa kazi wakamtonya Diblo ajikatae aungane na aliyekwisha kata tiketi ya kurudi mpakani mwa burundi. Sasa kingingi kinachotakiwa kungolewa ili gari litembee mbele ndio hicho ambacho ukikaa ukaTULIA unaweza kuki AKSI ON
Kifupi maelezo yote yanalenga hicho kingingi tu!!