Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

Si uliona mpango alijikataa mapemaa.. ilaa kassim atarudi 2030 kugombea urais amini nakwambia
Huwenda akagombea before/after uchaguzi' maana kwa majira hayo kete ya nne ama sita lazma ilambe udongo...
 
Watu wanajipanga kuhaikikisha msimu ujao shambani kwa bibi wanavuna kweri kweri hakibaki kitu.
 
Kwa maelekezo aliyoyatoa Samia kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Mbeya ni ujuha kufikiri kuwa Tulia hatokuwa Mbunge na Spika.

Mleta mada anawachanganyia maboya tu kuwatoa kwenye focus. Yaaani Rais wa IPU aachwe na CCM kwenye ubunge??? Ni mjinga tu ataamini hili.

No Reforms No Election ✊️ ✌️
Unakumbuka kijana steven masele aliikatwa 2020 kwenye maoni alikuwa mshindi wa kwanza,nafasi yake ikaenda kwa katambi
Wakati huo steven masele Alikuwa makamu wa Rais Bunge la Afrika
Ndugu yangu siasa we ziache tu😁😁
Wakiamua unakatwa tu
 
Wanasiasa wote Duniani.Wewe unadhani Netanyahu alianzisha Vita n Israel aliwashirilisha Wananchi?

Nchi nyingi lazima vita iiidhinishwe na wananchi kupitia bunge. Hata Nyerere alipoamua kumpiga Idd Amin alikwenda Bungeni. It's a standard procedure to most of countries.
 
2015..
Itajirudia isipokuwa kiti kimoja.
Julay imeanza.
 
Kwa hii code kama umeshindia mapera,? Lazima ufanyiwe upasuaji wa mduku!
 
Back
Top Bottom