Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

Kwa
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana

Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!

Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,

Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta

February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati

Britanicca
Kwa hiyo wa Burundi amestaafu siasa kweli au naye alistaafishwa kwa Mzee wa Mafaili kiaina maana Diblo alikua ametunzwa hata angerudi mkate asingeupata ..
Februari si tuliambiwa kuwa amaehidi kanafasi flani alikung'utwa ka Olomide tu small hata haka hurt...Ila yule Oili chafu sidhani kama ana uhakika wa kurudi maana wataenda kuwekeana kiumangula huko bungeni na Sterling.
 
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana

Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!

Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,

Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta

February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati

Britanicca
Giningi pagumu
 
Back
Top Bottom