Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

July imeisha ? Ndo kwanza imeanza
Mkuu nikiona bandicoot lako huwa nalisoma zaidi ya mara tano tena kwa umakini mkubwa. Kila beno moja kwenye sentencing halijawahi kukosa maana. Let me keep it on waiting
 
Kuna......
January Makamba
Kassim Majaliwa
Nape Nnauye
Tulia Ackson...........Hawa Niliowaandika Hapa Ni CHAMAMATES.....
Kwa hiyo yule Mkuu Mpya wa Mkoa, alipoambiwa akahakikishe anaconda heshima ya Spika huko aendako ilikuwa ni kinyume chake???
 
watu wameshindwa kufungua code za bwana britanicca wameishia kujadili wowowo la mtia nia🙌😂
Code mbona nyepesi sana hii sema lile wowo limeshatumika sana mpaka umri ule amna cha maana alafu ngozi nyeusi inawazaga ngono starehe mda wote ndo maana watu weupe wanatudharau sana
 
Si uliona mpango alijikataa mapemaa.. ilaa kassim atarudi 2030 kugombea urais amini nakwambia
Huko mbali mno. Historia na culture inakataa...

Kassim atakuwa almost 71 by that time, atakuwa amechoka na kwisha kimwili na kiakili...

Tanzania hatujawahi kuwa na Rais mwenye umri huo akitafuta kuchaguliwa. Umri huo huwa ni wa Rais kutoka na sio kuingia..

Huyu anaweza kuwa anaandaliwa sasa. Achana na Hangaya na mtoeni kabisa kwenye codes zenu. Hilo lilikuwa bosheni tu

Hii July mpaka kufikia hiyo Agosti 13 (maximum), baadhi ya watu watatembelea matumbo kama nyoka..🚶🏼‍♀️😞🚶🏼‍♀️
 
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana

Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!

Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,

Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta

February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati

Britanicca
Tulia out
Majaliwa kaa pembeni
Hapo kwa Bteko sijaewa
January Dillema
Mdogo wake bendera ya maembe???
 
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana

Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!

Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,

Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta

February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati

Britanicca
Naiwe hivyo,huenda nuru ikachomoza
 
Back
Top Bottom