Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana

Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!

Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,

Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta

February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati

Britanicca
Naweka kambi
 
Duh codes
Akisi ON= Rango

Taita= Mr II

Zeri= Maza/Mazeri

Diblo Dibala=Katelephone manywele.

Mauzi= Mwezi wa kwanza.

Bendera ya maembe =Nepi muue.

Nusu burundi= Mpango Mkakati .
images - 2025-07-02T151223.409.jpeg
 
Back
Top Bottom