Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 22,269
- 58,563
Alafu kuna kimbaumbau fulani eti kinataka dollar eti 🤣Huu mzigo hata akisema anataka laki moja natoa mda huo huo 😎😋😋
Alafu kuna kimbaumbau fulani eti kinataka dollar eti 🤣Huu mzigo hata akisema anataka laki moja natoa mda huo huo 😎😋😋
Huenda alipata msaada wa kufika mirembe au?Ila msaada uwafikie na wale nduguze.Wewe bwana mimi nashukuru umepona ni habari njema..!! 😹😹🤣
Acha wauaneCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Doh !Code iliyotumika hapa bila tumbo kuwa na chochote hutoboi
Hata utabiri wa kuja kwa Yesu ilipita miaka 40. Kuwa na subira kijana.Mkuu,
Mbona lile jambo ulilotabiri kuwa litatokea kabala ya Julai halikutokea?
Huyu ndio diwani wa KUNDUCHI??atashinda inshallahHata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295
Wanachekesha sana 😀😀Alafu kuna kimbaumbau fulani eti kinataka dollar eti 🤣
Hapa yatachukuliwa hayamaniniliu nyyma hapoHata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295
Naunga mkono hoja mkuuHeeee huo mzigo sio wa laki. Wa kuhonga nyumba au gari
Kwani ni mara ya kwanza? Mbona kwenye manyuzi yenu hayo ya kina Lisu Huwa naandika sana huu msimamo wangu?Teh teh 😃 😃 Leo umeongeza point..
Naunga mkono hoja yako japo ipo kwa mtindo wa swali.
Lizururaji tu humu humu 😂😂😂Wanachekesha sana 😀😀
unajidanganya tulia yupo palepaleCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Ake BENARD MEMBE ni mke wa kikwete, nini ngumu?Tulia out
Majaliwa kaa pembeni
Hapo kwa Bteko sijaewa
January Dillema
Mdogo wake bendera ya maembe???
Mwezi mchanga umepita ss hivi umekomaa network imerudi 😹Huenda alipata msaada wa kufika mirembe au?Ila msaada uwafikie na wale nduguze.
Sisi hao, ni humu tuuuuu!CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Ukiskia viti maalum ndio hivi sasa Smart911Hata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295
Sema kiukweli we hua sikuelewi... Sio bendera fuata upepo hua unajitahidi kua real lakini kuna kipindi unapuyanga mkuu... sema tupo pamojaKabla ya julai 😁😁
Wauane tuu kwani Wanasiasa Wana Msaada gani?
Kuna mtu atatakiwa aamke usingiz wa pono