Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
SawaKm akili ndo hizi Lissu atakaa sana jela 🤣😂🤣 na hizo fulani za No reforms no election zitakua za mitoko tu kama zilivyo za Crefisa...
SawaKm akili ndo hizi Lissu atakaa sana jela 🤣😂🤣 na hizo fulani za No reforms no election zitakua za mitoko tu kama zilivyo za Crefisa...
Wasifia watakaokulipaYou are totally disconected na wananchi, wapiga kura.
Unachoongea kusifia wanasiasa dio unasifia kaburi lao.
Wazawa hawajalipwa wewe unasifia ujinga.
Unajua nini kilifanya nikalili hili jina Shimba ya Buyenze
Mimi sijaelewa yule mdogo wake mauzi ndio nani almaaruf flag mango.Code iliyotumika hapa bila tumbo kuwa na chochote hutoboi
Huyu huyu aliyesema Maghufuli ni mzima wa afya akiwa ukingani?Kati ya watu ambao hawakutakiwa kufanyiwa fitina ndani ya CCM ni Mhe.Majaliwa.Huyu bado watanzania wana imani naye.
Umemsaha Mzee wa nahau.Huyu anapita kwa huo msambwanda tu 😄
Sema litariwa kwer kwer
Ova
Apumzike tu jela, kwani anatusaidia nini zaidi ya kutaka madaraka. Anaboa na makelele yake hajui tu mwenyewe anajiona shujaa🤣🤣🤣Km akili ndo hizi Lissu atakaa sana jela 🤣😂🤣 na hizo fulani za No reforms no election zitakua za mitoko tu kama zilivyo za Crefisa...
Kwani 'nepi' kuchukua fomu?Kwa
Kwa hiyo wa Burundi amestaafu siasa kweli au naye alistaafishwa kwa Mzee wa Mafaili kiaina maana Diblo alikua ametunzwa hata angerudi mkate asingeupata ..
Februari si tuliambiwa kuwa amaehidi kanafasi flani alikung'utwa ka Olomide tu small hata haka hurt...Ila yule Oili chafu sidhani kama ana uhakika wa kurudi maana wataenda kuwekeana kiumangula huko bungeni na Sterling.
Fomu inaenda kwa pico pico pico hahaha tulia pico wewe ndiye rais hahahaCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Mwaka wa uchaguzi huu, wacha tu wauane....unaambiwa Steve Nyerere anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu wa MamaCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Yeah kachukua tena mchana kweupeKwani 'nepi' kuchukua fomu?
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Sio kweliNasikia Tulia kachukua fomu pekee yake kwenye jimbo lake.Kwa hiyo ndani ya Chama letu hana mpinzani.
Hata angekua Chizi kwa Nyashi hiyo unamnyimaje FomHata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 3391295
Mzigo kama huu ukitinga mjengoni wana watausasambua na kama pete ipo lazima iwekwe mezani maana kwa wivu wa vidume sidhani kuna kidume kitakubali kuchakachuliwa mbususu anayoimiliki tena yenye msambwanda nyuma yake namna hii.Hata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 3391295
SpinningKabla ya July:
Tafsiri:
1. Kabla ya kufika July
2. kabla ya kwisha July.
Hata hayo yaliyotokea yanatosha kuupa credit uzi wako.July imeisha ? Ndo kwanza imeanza