britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Kabla ya julai ππCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Mkuu,CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
July imeisha ? Ndo kwanza imeanzaMkuu,
Mbona lile jambo ulilotabiri kuwa litatokea kabala ya Julai halikutokea?
Acha wauaneCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Akikujibu naomba unitag pleaseMkuu,
Mbona lile jambo ulilotabiri kuwa litatokea kabala ya Julai halikutokea?
Kabla ya Julai ni mwisho June 30July imeisha ? Ndo kwanza imeanza
Hili tacle linatufaa sana CHAPUTAHata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295
Huu mzigo hata akisema anataka laki moja natoa mda huo huo πππHata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295
Daah Code zako hizi siyo mchezoCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Haaaaaaa,Mimi nilielewa kuwa Julai haitafika.July imeisha ? Ndo kwanza imeanza