Msaada hii code jamaniMdogo wake Bendera ya Maembe
Ahsante sana mkuu, wewe ni mtu mwemaHata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295
Who might be that mtu?Kuna mtu atatakiwa aamke usingiz wa pono
Double Diff!Hata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295
Huyo ni mzigo mno, hana tijanikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Mtaalamu wa bao la mkonoMsaada hii code jamani
Mzee wa goli la mkono!Msaada hii code jamani
Huyu mazeri ni mwingi wa vinyume. Alimsifia Ummy Mwalimu halafu akamtumbuaKwa hiyo yule Mkuu Mpya wa Mkoa, alipoambiwa akahakikishe anaconda heshima ya Spika huko aendako ilikuwa ni kinyume chake???
Huyo hata elfu 10 hafai kupata ππLizururaji tu humu humu πππ
Ile kampeni ya nyumba ni.choo iliishiaga wapi. Ilifanikiwa kiasi ganiHata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295
Maneno yako na yakatimie.Hii July mpaka kufikia hiyo Agosti 13 (maximum), baadhi ya watu watatembelea matumbo kama nyoka..πΆπΌββοΈ
Apostle kuna muujiza.....ππππWewe bwana mimi nashukuru umepona ni habari njema..!! πΉπΉπ€£
Hilo zigo likinipa mzigo naliachia jimboHata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295
Duu kweli binadamu wanaume tunatofautiana. Mimi hata bure sitaki. Yaani wanawake wa aina hii kwa sex hapana. Hata nilale naye kitanda kimoja usiku kucha.Huu mzigo hata akisema anataka laki moja natoa mda huo huo πππ
Sasa hapo mgombea anaitwaHata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295
Ndio, ehh muujiza gani huo? π π πApostle kuna muujiza.....ππππ
Mdogo wake naembe. Wa CDMMsaada hii code jamani