Mbona umewadharau sana walimu? 😹😹Mamaeh ...hio nyumba yake Kwanza aliyojenga, mwalimu wa nchi itachukua miaka hata 20 na usimalize ...Sasa kama anao si watu watasepa wengi
You better watch your backSikubali.
Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania hii hii....
SIKUBALI....
HahahaDa pipy mshushe
Ila huu mfumo unaojengeka sio mzuri...Sikubali.
Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania hii hii....
SIKUBALI....
Critical thinker umenielewa mkuuIla huu mfumo unaojengeka sio mzuri...
Thamani ya Elimu inaondoka,...
machawa, mashoga na Wasagaji ndo wanakula maisha kitaa.....
Kwahiyo na wewe unataka ugaweommy hajaulinda ila anatembelea gari la bilioni 2....
Ndio Niko nafikiria. Haiwezekani mwalimu nchi hii analipwa hela MBUZI na maisha mabovu, ila you bera watch your back wanatembelea gari ya bilioni 2....Na ww tikisa izo chuchu basi. Upate pesa.
Kazi ni kipimo cha utu
Usimuone hivyo ..ana maisha mazuri ya kitajiri kushinda mwalimu wa nchi hii ya tanzania. Hivi unaelewa ?Hako katoto Baada ya kuweka video ndio nimekamanya
Wakati kanaanza kalikiwa kanatikisa kalio kinjaanjaa
Eti unatikisa kalio kwa beat ya singeli definitely ni njaa.!
Sema vitu vyeusi ni ugonjwa wangu katika hali yoyote ila kapunguze filter