Kwamba Pipitida ana maisha mazuri kushinda Mimi kwa kutikisa makalio tu?

Na nadhani hili linafanyika kwa makusudi, ni nani atakubali apatoze muda huko shuleni/vyuoni aje kuwa bodaboda?

Kila mtu anataka kuwa chawa kujipendekeza, kuwa snitch kwa kuwa ndio njia inayolipa....

Kama sio usenge ni nini?
 
Ndio Niko nafikiria. Haiwezekani mwalimu nchi hii analipwa hela MBUZI na maisha mabovu, ila you bera watch your back wanatembelea gari ya bilioni 2....
Sio chuchu tu...na matako kabisa kama Pipitida ...
😂😂😂
 
Usimuone hivyo ..ana maisha mazuri ya kitajiri kushinda mwalimu wa nchi hii ya tanzania. Hivi unaelewa ?
Uongo, pippy ana maisha gani mazuri? Acha kudanganya hapa.
 
Sikubali.

Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania hii hii....

SIKUBALI....
kwahiyo unatakankuunga juhudi za akina cocastik na bichwa komwe, aiseh YBWYB
 
Sikubali.

Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania hii hii....

SIKUBALI....
Simjui ila nimemsikia TOXIC FUVU katoa ngoma inaitwa MIMI LINI aisee jamaa kasema mengi mno kuhusu haya maisha

Ngoja nikuweke

 
Sikubali.

Mimi na usomi wangu wote na akili nyingi hizi, unaishia kufanya vibarua vya mkono uende kinywani , ila Pipitida anatikisa makalio tu na ni tajiri kwa Sasa na maisha mazuri...Tanzania hii hii....

SIKUBALI....
Watch ur back kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…