πΉπΉπΉ Mi mwenyewe nashangaa kama wewe..!!Kwani Pippy ana nyumba? πππ
Unaukichaa wewe.Bilioni 2 shekhe ....nakupa na mafuta kabisa au vipi...
Mada imeishia sehemu inayotupa ukakasi Wanaume, huyu siku sio nyingi tunaweza kushuhudia video za aibu mana kama vile amepania kumshusha pipi kwenye trending πSIKUBALI...
Kwahivyo unataka kufata nyayo zake ama?
Hii mada Imeisha vibaya sana πSIKUBALI....