Kwamba tangu tumepata uhuru huyu ndie Rais ambae wananchi wanamchukia na hawamkubali?

Kwamba tangu tumepata uhuru huyu ndie Rais ambae wananchi wanamchukia na hawamkubali?

Magufuli alichukiwa sana na kuna wengi ambao hawakuwa wakimpenda ila pia alikuwa na kundi kubwa la wananchi ambao walimpenda hasa watu wa hali ya chini hadi akawa anajiita rais wa wanyonge.

Lakini kwa Samia inaonekana wasiomkubali ni wengi zaidi ndio maana anapitia hii misukosuko, ni kweli hakuna anayependwa na watu wote ila kwake wanaompenda ni wachache kuliko wasiompenda.
Wanaompenda ni watu system tu anaowapa marushwa makubwa,na mashehe wa bakwata
 
Back
Top Bottom