Kwamba TEC wanamchukia sababu ni Mzanzibari na muislamu? Wamuache amalizie muda wake! Huku ufisadi na Nepotism ikifanyika

Kwamba TEC wanamchukia sababu ni Mzanzibari na muislamu? Wamuache amalizie muda wake! Huku ufisadi na Nepotism ikifanyika

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Hili sijalielewa kabisa? Kwamba niachieni kwanza nimalize hii ngwe iliyobaki.

Huku ufisadi, dhuluma, utekaji, upendeleo wa familia zetu ukiendelea mpaka nimalize.

Mnanichukia Sababu natoka Zanzibar na mimi ni muislamu!
 
Hili sijalielewa kabisa? Kwamba niachieni kwanza nimalize hii ngwe iliyobaki.

Huku ufisadi ,dhuluma, utekaji, upendeleo wa familia zetu ukiendelea mpaka nimalize.

Mnanichukia Sababu natoka Zanzibar na mimi ni muislamu!
Mnanichukia Sababu natoka Zanzibar na mimi ni muislamu!🥺🥺🥺🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
1764732009534.jpeg
 
Inasikitisha sana
 
Huyu ndiye rais na jeshi limemtii nyie ni nani mpambane naye tulieni
 
Mnanichukia Sababu natoka Zanzibar na mimi ni muislamu!🥺🥺🥺🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Rais kikwete na mwinyi walikuwa wakristo,mbona haya yanayotokea hatukuyashuhudia wakati wa utawala wao?

Tundu lisu alimpinga mkatoliki mwenzake hadi kupigwa risasi! Ina maana magu naye alipingwa kwa sababu ya dini?
Watanzania tusipoamka usingizini tutachezeshwa ngoma zote
 
Kwenye ukweli ambao TEC wamesimamia tutakuja kuwaelewa baada mahakama ya ICC itakavyomtia hatiani
 
وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu​

Back
Top Bottom