kallenge
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 765
- 779
Pumbavu zako itakuwa ni matumizi mabaya ya akili kujadiliana na mtu kama weweRais wa nchi hii anayo Kila haki unayoijua na usiyoijua Sasa wewe piga kelele uone
Pumbavu zako itakuwa ni matumizi mabaya ya akili kujadiliana na mtu kama weweRais wa nchi hii anayo Kila haki unayoijua na usiyoijua Sasa wewe piga kelele uone
Waloishiwa hoja wwnajificha kwenye udiniRais kikwete na mwinyi walikuwa wakristo,mbona haya yanayotokea hatukuyashuhudia wakati wa utawala wao?
Tundu lisu alimpinga mkatoliki mwenzake hadi kupigwa risasi! Ina maana magu naye alipingwa kwa sababu ya dini?
Watanzania tusipoamka usingizini tutachezeshwa ngoma zote
Icc nao wahuni tu, ngoja tujipe mudaKwenye ukweli ambao TEC wamesimamia tutakuja kuwaelewa baada mahakama ya ICC itakavyomtia hatiani
Kwa taarifa yako,wanasiasa wakiharibu hujificha kwenye kichaka cha dini kutafuta uungwaji mkono wa wenye akili ndogo.وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu
Siku atakufa ndugu yako.Rais wa nchi hii anayo Kila haki unayoijua na usiyoijua Sasa wewe piga kelele uone