Waziri Mkuu hakusema kulipa kodi ni hiari au wanabembeleza mfanyabiashara, acheni kumlisha maneno Waziri Mkuu, hakusema hivyo..
Kuhusu store, alisema lengo la kukagua store hizo ni nzuri, ila elimu ya kufanya hivyo wafanyabiashara hawakuambiwa, kwani kama ni mizigo halali, na imepitia TRA na imelipiwa kodi, hakuna haja ya kuogopa kukaguliwa store hizo, ila kama ni bidhaa ni za magendo, hapo ndio utakmatwa tu, au TRA watakupiga faini au hata kushikilia hiyo mizigo ya magendo, Waziri Mkuu alisema tar 17:05:2023 saa 3 asubuhi atakutana tena na viongozi wa umoja wa wafanyabishara Kkoo na TRA, ili awaeleze kiundani, nia hasa ya serikali, hizo store lazima zikaguliwe na kulipa kodi sio hiari.