Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
M
Mkuu sijakuelewa emu andika kwa utulivu sijaipata hoja yako vizuriHuu wa Sasa waki diploy staff wa kutosha Hadi ngazi ya kata na kuimarisha ukaguzi hasa kwenye mipaka na kuwabana wanunuzi wa kawaida wenyewe watadai risiti Kwa lazima..
Binafsi kuanzia Sasa sitodai risiti na Mfanyabishara akinilazimisha lazima aandike thamani halisi..
Uliwahi kuona wapi migahawani wanatoa risiti licha ya kuwa na mashine za efd?