Kwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara Anabembelezwa Kulipa Kodi?

Kwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara Anabembelezwa Kulipa Kodi?

Majaliwa awe makini na matamko yake, implication ya mkutano wake na wana kariakoo unaweza sababisha makusanyo kupungua sana, na hayo madogo yakaishia mifukoni mwa maafisa wa TRA na mengine mifukoni mwa wanasiasa.
 
Agenda yao ni kua aapunguziwe utitiri wa kodi ili rushwa pia ipungue.

Hizo kodi kibao sio tu wanazikimbia ila pia wanatoa sana rushwa, task force ni wala rushwa wakubwa hao.
Wakikudaka na mzigo mnamalizana kinyemela tu.

Waongeze uaajibikaji huko kwao sio kujaza kodi nyingi ambazo ni mlima kwa mfanyabiashara.
 
Back
Top Bottom