Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Na uhakika aliyeandika huu uharo hafanyi biashara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watunga sheria ya kodi kubwa kwenye magari harafu wao wanajibanza kwenye VX za Serikali zikichukuliwa tuu wanakufa kwao huko hakuna hata mtu mwenye nafuu...wamefanya magari kama chombo cha starehe kumbe ni bidhaa kama bidhaa zingine tuu uliona wapi Nchi bado inajengwa ila hiyo kodi ya magari ya kubeba mchanga au mizigo ni balaa unakuta bidhaa zinaozea shambani huko Wakenya wenye nafuu wanaenda kuchukua kwa bei ya kutupa Ujinga ni ugonjwa mbaya sana na vinaenda pamoja na Umasikini havitoki kwenye damu unakua na maamuzi ya kimasikini kwa sababu umasikini upo kwenye damu hata upate kazi nzuri vipi utachukia wengine wasiishi maisha bora...Mazingira ya hii nchi ni magumu sana, yaani kodi zipo kumkomoa mwananchi na si kufanya awe na hali bora.
Nina mwaka wa 25 nafanya biashara unasema ni mgeni daah nakwambia nilifunga duka karikakoo kwa sababu ya usumbufu wa kijinga miaka ya 2007/8 pana wageni wamehama kuja Dalsm kununua mzigo kwa sababu ya huo usumbufu wa risiti muda mwingine wanachukua hadi bidhaa zao...n
Swala siyo watu kukataa kodi, bali kutunga sheria isiyomlinda mlipa kodi na kumpa mwanya mdai kodi kutumia sheria kushinikiza rushwa.
Wafanya biashara wengi ni wadogo na wanachangamoto katika kutunza kumbukumbu. Hata ukiwa na kumbukumbu sahihi namna gani bado wanatabia ya kuzipinga hizi ili mradi tuu wakubane kukaribisha rushwa.
Hili swala la kutuma taarifa za mali kila mwezi ni ngumu na inatoa mwanya mkubwa kwa mdai kodi kukubana hata pasipo na sababu zozote.
Wewe nadhani ni mgeni na mazingira ya biashara/kodi in practice au umechukulia mfumo wa nchi ya dunia ya kwanza.
Yupo ndani anaangalia TV ya shemeji yakeNa uhakika aliyeandika huu uharo hafanyi biashara.
Kuna siku pale kariakoo walikuja wale watu wa TRA kama una mzigo wowote unapelekwa ofisini kwao wanaanza kuwafundisha sijui risiti iweje na blah blah kibao.Yupo ndani anaangalia TV ya shemeji yake
Mbona issue imekuuma Sana? Wewe ndo ulikuwa msumbufu Kwa wafanyabiashara?Kwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara anabembelezwa kulipa Kodi na anaamua kulipa Kodi anayojigangia si ndio?
Kwamba mfanyabishara wa Tanzania atalipa Kodi bila task force eti maagizo si ndio?
Kwamba mfanyabishara ni ruksa kuficha bidhaa kwenye stoo bubu na kuziuza huko huko bila kulipa Kodi si ndio?
Tusidanganyane hapa hakuna mfanyabishara Yuko tayari kulipa Kodi Kwa hiari hata Mimi binafsi siwezi kulipa..
Nilitegemea Serikali iimarishe kitengo Cha malalamiko na fidia Ili kama Kuna kukadiriwa Kodi isiyo sahihi mtu a file malalamiko yake na ikibainika kuwe na fidia nk..
Pia kero kubwa ambayo hata Mimi naiona kwenye biashara ni wingi wa utitiri wa taasisi za compliance na zote Zina masharti yake,Sasa nilitegemea kuwe na merging ya pesa inayohitajika Ili hizo taasisi za compliance zibakie kwenye ukaguzi sio mfanyabishara kulipa pesa Kila sehemu kama zimamoto,nemc,leseni, Halmashauri,TRA,TMDA,nk
Pesa ingejumuisha kwamba mtu anatakiwa kulipa kiasi Fulani na Kuna mchanganuo kama vile ulinunua mafuta Kuna mchanganuo wa Kodi na tozo..
Kama ni hivyo basi sawa ngoja tuone mwisho wa siku itakavyokuwa ila inashangaza kuvunja taskforce Sasa sijui hiyo enforcement itafanyikaje..
Nakubaliana nawe, badala ya kuongeza idadi ya walipa kodi kwa ku expand walipa kodi tax base wanazidi kuminya zaidi pasipo na uwiano tija wale walipa kodi wachacheTatizo ni siasa.
Serikali ikitaka iwape wote EFD ili iweze wakaba wote, tofauti na hapo isahau. Huwezi wapa wenye maduka EFD, machinga wabaki bila mashine
Kwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara anabembelezwa kulipa Kodi na anaamua kulipa Kodi anayojigangia si ndio?
Kwamba mfanyabishara wa Tanzania atalipa Kodi bila task force eti maagizo si ndio?
Kwamba mfanyabishara ni ruksa kuficha bidhaa kwenye stoo bubu na kuziuza huko huko bila kulipa Kodi si ndio?
Tusidanganyane hapa hakuna mfanyabishara Yuko tayari kulipa Kodi Kwa hiari hata Mimi binafsi siwezi kulipa..
Nilitegemea Serikali iimarishe kitengo Cha malalamiko na fidia Ili kama Kuna kukadiriwa Kodi isiyo sahihi mtu a file malalamiko yake na ikibainika kuwe na fidia nk..
Pia kero kubwa ambayo hata Mimi naiona kwenye biashara ni wingi wa utitiri wa taasisi za compliance na zote Zina masharti yake,Sasa nilitegemea kuwe na merging ya pesa inayohitajika Ili hizo taasisi za compliance zibakie kwenye ukaguzi sio mfanyabishara kulipa pesa Kila sehemu kama zimamoto,nemc,leseni, Halmashauri,TRA,TMDA,nk
Pesa ingejumuisha kwamba mtu anatakiwa kulipa kiasi Fulani na Kuna mchanganuo kama vile ulinunua mafuta Kuna mchanganuo wa Kodi na tozo..
Kama ni hivyo basi sawa ngoja tuone mwisho wa siku itakavyokuwa ila inashangaza kuvunja taskforce Sasa sijui hiyo enforcement itafanyikaje..
Yatakiwa maduka yote yapewe EFD, Biashara zote zipewe EFDNakubaliana nawe, badala ya kuongeza idadi ya walipa kodi kwa ku expand walipa kodi tax base wanazidi kuminya zaidi pasipo na uwiano tija wale walipa kodi wachache
Nani Huwa anatoka hizo risiti za efd? Unawajua wafanyabiashara vizuri?Yatakiwa maduka yote yapewe EFD, Biashara zote zipewe EFD
TRA wakae wasubiri mapato yao