Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Lipa kwa mpesa tigo pesa lipakwa airtelmoney mbona imeenea hadi huku vijijini mkuu. TRA wanakwama wapi. Huko Rwanda shoe shine ana EFD mashineWewe unaona Tanzania Ina miundombinu ya kufanikisha Hilo?
Huyu mleta mada ni mtoto badoHakuna unachokijua umeandika andika tuu utoto raha sana...
Kama hivyo ndivyo ,Hilo la kelele za utitiri wa Kodi linatoka wapi? Pili ulikuwa unalipa Kwa Kodi ndogo ila haiendani na thamani ya biashara yako maana mzigo mnaficha stoo za Tanzania au Zambia mnawapa watu wa baiskeli wanavusha nkMkuu mimi nalipa kodi bila kulazimishwa walikua wananishangaa naenda Custom kulipia mzigo miaka hiyo bila kukwepa kwepa nanyooka Tunduma tena unakadiliwa kawaida tuu wakati ukikamatwa huko Mpemba rushwa wanataka kubwa kuliko kodi uliyokwepa nimewafundisha watu wengi kwenye hilo hata gari nazochukua SA sikwepi kodi nachukua nazoweza kulipa ingawaje kodi yake ni Mlima sana...mazingira ya Wafanyabiashara Tanzania sio rafiki wahuni ndio watoa maamuzi kwenye sekta ya kodi na ndio wanadidimiza maendeleo...
Nitajie cashless society yeyote hapa AfricaLipa kwa mpesa tigo pesa lipakwa airtelmoney mbona imeenea hadi huku vijijini mkuu. TRA wanakwama wapi. Huko Rwanda shoe shine ana EFD mashine
Kumbe unasubiri Africa iwepo nchi moja afu Tanzania ndo ifate. Kwa nini ww Tanzania usianze wengine wafateNitajie cashless society yeyote hapa Africa
Harafu wanachekewa Kwa visingizio vya kipuuzi,ni mara mia hoja ingekuwa Kodi kubwa au nyingi Ili serikali iwe na taasisi chache au iziweke pamoja badala ya kusema eti mfanyabishara atalipa Kwa hiari,huu ni mzaha..Mkuu ni very unfortunate kwamba hii nchi watu hawataki kulipa kodi hasa wafanyabishara na wanasikilizwa.
Hii nchi itaendelea kua omba omba milele.
Utavusha kontena zima la Pombe kwa baiskeli tunapozungumzia mzigo sio vifurushi wewe Mtoto...Kama hivyo ndivyo ,Hilo la kelele za utitiri wa Kodi linatoka wapi? Pili ulikuwa unalipa Kwa Kodi ndogo ila haiendani na thamani ya biashara yako maana mzigo mnaficha stoo za Tanzania au Zambia mnawapa watu wa baiskeli wanavusha nk
Hakuna mfanyabishara anaweza lipa Kodi hlisia.
Hakuna haja Kwa Sasa ya kwenda kwenye mifumo isiyo na maana.Kumbe unasubiri Africa iwepo nchi moja afu Tanzania ndo ifate. Kwa nini ww Tanzania usianze wengine wafate
ChawaSasa unamuuliza nani hayo maswali?
Mfumo upi kwa mtizamo wako unamaana???Hakuna haja Kwa Sasa ya kwenda kwenye mifumo isiyo na maana.
Kwani biashara ni pombe tuu? Kwanza Kwa kuondoa task force ndio kwanza kutakuwa na bargain nzuri kabisa kati ya mfanyabishara na Afisa wa TRA Kwa sababu hana tena sababu ya kukaza maana mtaenda kumchongea aonekane mbaya so utaulizwa unataka ulipe ngapiUtavusha kontena zima la Pombe kwa baiskeli tunapozungumzia mzigo sio vifurushi wewe Mtoto...
Huu wa Sasa waki diploy staff wa kutosha Hadi ngazi ya kata na kuimarisha ukaguzi hasa kwenye mipaka na kuwabana wanunuzi wa kawaida wenyewe watadai risiti Kwa lazima..Mfumo upi kwa mtizamo wako unamaana???
Kosoa kisha pendekeza possible solutions.
Mimi nilikua napakia Pombe siwezi kuzungumzia ambayo nilikua sileti nimesema una utoto ndio maana unaongea chochote na huna exposure yeyote unachojua ni kuandika na kusoma...Kwani biashara ni pombe tuu? Kwanza Kwa kuondoa task force ndio kwanza kutakuwa na bargain nzuri kabisa kati ya mfanyabishara na Afisa wa TRA Kwa sababu hana tena sababu ya kukaza maana mtaenda kumchongea aonekane mbaya so utaulizwa unataka ulipe ngapi
nKwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara anabembelezwa kulipa Kodi na anaamua kulipa Kodi anayojigangia si ndio?
Kwamba mfanyabishara wa Tanzania atalipa Kodi bila task force eti maagizo si ndio?
Kwamba mfanyabishara ni ruksa kuficha bidhaa kwenye stoo bubu na kuziuza huko huko bila kulipa Kodi si ndio?
Tusidanganyane hapa hakuna mfanyabishara Yuko tayari kulipa Kodi Kwa hiari hata Mimi binafsi siwezi kulipa..
Kama ni hivyo basi sawa ngoja tuone mwisho wa siku itakavyokuwa..
Swala siyo watu kukataa kodi, bali kutunga sheria isiyomlinda mlipa kodi na kumpa mwanya mdai kodi kutumia sheria kushinikiza rushwa.Mkuu mimi nalipa kodi bila kulazimishwa walikua wananishangaa naenda Custom kulipia mzigo miaka hiyo bila kukwepa kwepa nanyooka Tunduma tena unakadiliwa kawaida tuu wakati ukikamatwa huko Mpemba rushwa wanataka kubwa kuliko kodi uliyokwepa nimewafundisha watu wengi kwenye hilo hata gari nazochukua SA sikwepi kodi nachukua nazoweza kulipa ingawaje kodi yake ni Mlima sana...mazingira ya Wafanyabiashara Tanzania sio rafiki wahuni ndio watoa maamuzi kwenye sekta ya kodi na ndio wanadidimiza maendeleo...
Unataka kusema kariakaoo wote ni wajnga Hadi wafunge biashara.Kama Kodi ipi ambayo Haina mbele Wala nyuma? Mbona huzitaji? Kuna Kodi Mpya au zilikuwwpo miaka yote?
Mwisho Kodi kibao zimepunguzwa na kufutwa Sasa hizo Kodi zisizoeleweka mbona huzitaji?