binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 11,201 Reaction score 28,642 May 16, 2023 #81 Majaliwa awe makini na matamko yake, implication ya mkutano wake na wana kariakoo unaweza sababisha makusanyo kupungua sana, na hayo madogo yakaishia mifukoni mwa maafisa wa TRA na mengine mifukoni mwa wanasiasa.
Majaliwa awe makini na matamko yake, implication ya mkutano wake na wana kariakoo unaweza sababisha makusanyo kupungua sana, na hayo madogo yakaishia mifukoni mwa maafisa wa TRA na mengine mifukoni mwa wanasiasa.
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 May 16, 2023 #82 Agenda yao ni kua aapunguziwe utitiri wa kodi ili rushwa pia ipungue. Hizo kodi kibao sio tu wanazikimbia ila pia wanatoa sana rushwa, task force ni wala rushwa wakubwa hao. Wakikudaka na mzigo mnamalizana kinyemela tu. Waongeze uaajibikaji huko kwao sio kujaza kodi nyingi ambazo ni mlima kwa mfanyabiashara.
Agenda yao ni kua aapunguziwe utitiri wa kodi ili rushwa pia ipungue. Hizo kodi kibao sio tu wanazikimbia ila pia wanatoa sana rushwa, task force ni wala rushwa wakubwa hao. Wakikudaka na mzigo mnamalizana kinyemela tu. Waongeze uaajibikaji huko kwao sio kujaza kodi nyingi ambazo ni mlima kwa mfanyabiashara.
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 May 16, 2023 Thread starter #83