GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Kiwango cha Ujinga ( Ungumbaru ) kwa Wananchi wa Taifa lake Kuongezeka.
2. Utamaduni wa Visasi na Chuki kwa Waliokuchukia na Usiowapenfa Kuongezeka.
3. Kiwango cha Elimu Kushuka na kuwa ICU huku Ufaulu wa Kisiasa kwa Wanafunzi Kuongezeka.
4. Kiwango cha Wanaume wengi kupenda kuwa kama Dada zao Kimwonekano na Kuwasaidia Kazi zao za Asili za Kibaiolojia ( Kimaumbile wanazozimudu ) Kuongezeka.
5. Idadi ya Wanafiki miongoni mwa Watanzania na Watendaji Kuongezeka.
6. Tenda za Miradi ya Kimkakati kupewa wale wasiokuwa Wachoyo wa kutoa 10% mpaka hata 50% kwa Watu wa Serikalini.
7. Idadi ya Majanga, Ajali, Magonjwa na Uchawi baina ya Watanzania Kuongezeka.