The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Watu wengi wavivu wanapenda vya bure ndio maana walikimbilia socialism..Nyerere aliacha madaraka lini na tokea aondoke kwanini tumeshindwa kufikia hapo unapopataka?
Anawezakuwa na mapungufu yake lakini anabaki kuwa miongoni mwa viongozi bora kabisa.
Kuna mambo tumeshindwa kuyatekeleza na tunabaki kumrushia lawama Nyerere.
Mwendazake ni mfano mzuri wa incompetent leader kama jamaa alivyomtolea mfano Nkrumah,Magu kaacha lundo la madeni with nothing to show off,miaka 6 imeisha hakuna hata mradi alioanzisha uliofikia japo 50% .
Matokeo yake Samia anatafuta pesa za kulipa madeni na kumalizia miradi ambayo ni tembo mweupe..
Hii incompetence ya leadership ni janga Sana,watu hawataki kuruhusu wenye akili wajadiliane afu wafikie muafaka wa namna ya kwenda,pia issue ya ego kwa Africans ni tatizo kubwa Sana..