Sera ilikuwa nzuri, hii Sera lengo kuu ni nchi iwe ndo mmiliki kamili wa raslimali na mzalishaji ,kwa [emoji817]. nchi inazalisha bidhaa tosherezi ndani ya nchi,na ziada zinauzwa nje, kwa maana hiyo hii Sera hulifanya taifa kuwa na nguvu kiuchumi ,kwa sbb ya kuteka soko la ndani ,na nje,like China,they produce products for themselves & they sell surplus product to foreigner country!! Sera ilikuwa nzuri Sana lkn wahuni wakaivuruga!! Kama ingeenda vyema tusingekuwa hapa tulipo,kwani China wanaishi malaika!? Waliwezaje !!??