Kwangu mimi huu ni ushahidi kuwa matukio haya hupangwa

Low thinking! Kusoma umekariri lazima uwe darasani?!
Unapotembea barabarani macho na masikio unaziba?!
 
Yeye ndiye anaonekana "mchawi" kwa kuzuia wanaompinga; wewe hilo hulioni au umekariri tu misemo!

Aache wanaompinga na wao wawatangazie watu wao kuwa watapitia hapo kwa mbwembwe, tuone kama hapatakuwepo umati wa kuwapokea na kuwashangilia.
 
Ama kweli magufuli kipenzi Cha watu Hilo shazi hapo ubungo si la kitoto,sipati picha wachawi wa pale mtaa wa ufipa matumbo yanavyo wavuruga [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Kama unafikiri Raisi ni kama mtu mwingine pole sana. Raisi haijui kesho yake tuu kama binadamu wengine. Lakini kila tukio lake hupangwa na kuna watu wanalipwa mishahara minono kwa kazi ya kupanga daily routine ya Raisi. Unapoambiwa uraisi ni taasisi uwe unaelewa.
 
Punguza ujuha we mchunga ng'ombe wa burigi
 
Tulia keshaanza kula kwa mama lishe, akishapata Kodi zetu huwaoni Hadi uchaguzi ujao tena
 
Halafu yule mama mlemavu shavu hiloo,nafikiri ugali mboga saba. Mkuu alikaa naye chini bila wasiwasi.....kitengo
 
Si unakumbuka chadema mlivyo panda daladala na Lowassa
 
Magufuli anafeli sana na wanaomwamini wanafeli. Yani yule mlemavu kaletwa na maccm tena kwa maagizo yake mwenyewe.
 
Magufuli anafeli sana na wanaomwamini wanafeli. Yani yule mlemavu kaletwa na maccm tena kwa maagizo yake mwenyewe.
Ile ilikuwa ni movie ya kiwango duni kuliko hata movie za kibongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…