Kwangu mimi huu ni ushahidi kuwa matukio haya hupangwa

Umeyajua kwa hiyo? Na yamekuchukua muda mrefu kujua kitu kilicho wazi kama hicho! Pale panahitaji ulinzi, nidhamu na mpangilio wa watu bila hivyo kuandaliwa basi utakuwa unamuweka kiongozi wako kafara!
 
Magufuli anafeli sana na wanaomwamini wanafeli. Yani yule mlemavu kaletwa na maccm tena kwa maagizo yake mwenyewe.
Wewe si huwa unajidai ni mtu wa kitengo?
Mbona hukujua na kuyaleta haya mapema?
 
Magufuli anafeli sana na wanaomwamini wanafeli. Yani yule mlemavu kaletwa na maccm tena kwa maagizo yake mwenyewe.
Kaletwa yoka wapi? Kama hujui yule mama vile ni viunga vyake..na watoto wake wako wanapiga kazi maeneo yale yale ya ubungo.
 
mkuu kwani iyo elimu anapewa bure...c anailipia
 
Hata mimi huwa nahisi kuna maandalizi kabla ya wananchi kumsimamisha boss,ila umesema haukusikia vizuri tangazo mkuu. Ngoja nifuatilie zaidi.
 
Nnavyo fahamu kuna aina mbili za washangliaji. 1. Wale ambao wanapiga makofi na shangwe kukuunga moja kwa moja bila kupinga. 2. Wale waopiga makofi na shangwe ilimradi nao waonekane mko wote lkn ukweli wana matakwa yao ambayo bila uwepo eao pale hayawezi kutimizwa. Sasa hiki kundi la 2 ndo wengi na kati ya hawa wako wachache sana wenye uwezo wa kuonyesha uhalisia wao. Sasa katika hili la mheshimiwa raisi na wananchi hapo walikuwepo wote wanaopenda harakati zake na hao wa kuwepo tu.
 
Ni nini maana ya Ukamanda wewe mtu? Kamanda hatakiwi kuwa muongo!

Yaani maandalizi ya tukio kutukia umeyashuhudia, na baada ya mashambulizi ndio unasema iliwaona majambazi wakipanga kushambulia,

Hutakiwi kuwa kamanda tangu sasa!

Eti nimesikia tangazo, si ungeandika habari hizi kabla ya tukio lenyewe, Nyinyi ni waongo Sana nyie watu, pwaaa!!!
 
Hiyo sio fadhila au hongo wasisemwe bali ni wajibu. Laa sivyo waache kuwezesha.
 
Nyie tulishawazoea kila Mara mheshimiwa Rais anapoonesha kitu chema mbele ya jamii mnasema imepangwa kwa hiyo hata yule mama mlemavu utasema alipangwa pia

Acheni hayo mambo wakuu

Kwani huwa anatembea na mabulungutu ya pesa kwanini kwa shughuli hizo huwa hazipangwi?
 
Wapinzani mnatapatapa tu hamna jipya,mtapinga kila kitu,lile kongamano limeandaliwa na vijana wa UVCCM wilaya ya UBUNGO kumpongeza mheshimiwa rais wa JMT na kiongozi mkuu wa CHAMA .Dr.John P Magufuli kwa kuanzisha miradi mingi mikubwa na kuitekeleza kikamilifu ndani ya wilaya ya UBUNGO na Taifa kwa ujumla ikiwamo ujenzi wa UBUNGO Interchange(Fly Over) ambayo ujenzi umekamilika kwa zaidi ya 75%,ujenzi wa daraja la mto Gide,ujenzi wa barabara ya shekilango,ujenzi wa mabanda wa wafanyabiashara Mbezi,Zahanati,Mabweni hayo Mambo yote na mengine mengi yamefanywa na rais wetu ndani ya wilaya ya UBUNGO katika kipindi kifupi tu cha utawala wake pasipo kuangalia au kubagua CHAMA akitambua fika kuwa Maendeleo hayana CHAMA .

Ukiangalia kwa undani hiyo miradi yote inawagusa vijana moja kwa moja na moja Kati ya wajibu wa vijana ni kuikumbusha serikali pale ilipolega na kuisifia inapofany vizuri ,JPm amefanya vizuri hvyo vijana hawana budi kumpongeza kwa Maendeleo alitoyaleta wilaya ya UBUNGO.
 
NDANI YA CCM HAKUNA DEMOKRASIA FOMU NI MOJA TU
 
Hakuna kisicho pangwa kwenye hii dunia...iwe ajali, siasa hata kifo cha Kristo... In politics anything is possible. So usishangae Ila nawe panga yako wengine wakushangae.
 
niliangalia taarifa ya habari kupitia EATV nikaona inatangazwa kwamba huko manyoni singida wazamini wameshapatikana na wamejitokeza wengi kumdhamini.
nikajiuliza habari pale nini? mwana ccm kudhaminiwa ni takwa la katiba yao tena anagombea peke yake.
ingekuwa habari kama angekosa wadhamini.
hawa wandishi wa bahasha wana akili ndogo sana hawa
kuhusu ubungo..... ile imepangwa kama alivyoenda kunywa kahawa na yule mwanausalama aliyegeuza jezi yake huku macho yakimtoka kwa ULEVI WA K VANT kawaha ya motooo
msafara wa raisi hausimami kama bodaboda jamani
 


Kwaiyoo kukawa na matangazo watu wasitoke nje Kuna dharura kwa kuwa anasoma asisikilizee?? Tumia akili wewe kiazi.
 
Kazi kubwa ni kuchukizwa na kila jambo[emoji23]
kazi kubwa ni kwenda kinyume na kila hoja
aisee kazi kubwa sana, pole Mkuu sentensi zako zimejawa na gadhabu kubwa[emoji22] mpaka nmejiskia vibaya
Kazi kubwa zaidi ni hii yako ya kujaribu kutetea upuuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…