Kwangu mimi huu ni ushahidi kuwa matukio haya hupangwa

Yani matukio yapangwe yasipangwe lakini bado JPM ni bingwa wa kazi kuliko prezoo yoyote hapa Africa
 
Hupangwa hilo halina mjadala.

Hao wenye nguo za kijani walitokanazo wapi kama hawakuambiwa bosi wao angekuwa pale?

Au ndio walienda na hayo mashati ya kijani kazini bahati nzuri wakakutana nae!.
Mtafanya tuhamishie makazi yetu kwenye madaraja ili bwana pepsi akipita tuambulie kitu...
 
Kazi kubwa ni kuchukizwa na kila jambo[emoji23]
kazi kubwa ni kwenda kinyume na kila hoja
aisee kazi kubwa sana, pole Mkuu sentensi zako zimejawa na gadhabu kubwa[emoji22] mpaka nmejiskia vibaya
Sentesi zangu ni zipi tena? Kama unamwona jiwe yupo sahihi wakati wote, kwa matendo na matamshi, ukijaribu kufanana na Lugola, huna matatizo kweli wewe?
 
Kwa kipindi hiki mpaka uchaguzi upite,tutapanda nao mpaka daladala kama sio kuchimba nao mitaro ya kupitisha mabombo ya maji mitaani, n.k.
Dogo malizia masters yako hapo udsm,haya mambo yatakupa kisukari
Mgombea wa ukawa alipanda gongo lamboto,akanywa uji.na maharage tandika nadhani utakua unamsema huyo
 
Kwa kipindi hiki mpaka uchaguzi upite,tutapanda nao mpaka daladala kama sio kuchimba nao mitaro ya kupitisha mabombo ya maji mitaani, n.k.
Dogo malizia masters yako hapo udsm,haya mambo yatakupa kisukari
Mgombea wa ukawa alipanda gongo lamboto,akanywa uji.na maharage tandika nadhani utakua unamsema huyo
 
Ole mwala o bhebhe Kasie a.k.a KASHINDYE
 
Kwani huwa anatembea na mabulungutu ya pesa kwanini kwa shughuli hizo huwa hazipangwi?
Rais lazima atembee na maburungutu yakutosha. Kuna wenye shida Kama yule mlemavu Sasa Kama rais Hana hela Nani atakuwanazo?
 
Kushindwa kupanga ni kupanga kushindwa...najua unajua hilo.
Hizo ni siasa tu hata Lowassa alipanda daladala kipindi kileee
 
Hapo ni ufinyu wa mawazo tu. Hakuna chama ambacho kikishinda kuunda serikali kutafuta elimu.

Wakati fulani muwe mnatumia walau akili kidogo basi hata kama mnasifia hivyo lkn mfahamu kuwa kila chama kina sera zake ktk kuendeleza elimu na huduma zingine za kijamii.
 
huyo mama nilishamuona TBCCM..........unganisheni dots wenyewe.
 
Kwa hiyo unashauri nini?
 
Ifike wakati tuwe na kumbu kumbu JPM mara ngapi amegawa pesa katika utawala wake? ni mara ngapi kajichanganya kitaa mara kwenye vibanda vya chips,matunda, bao nk?!
Hata kama huu utaratibu si wenyewe lakini hajaanza nao juzi ili mseme ni kampeni.
 
Wivu humuua mtu mjinga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…