Na hata yule Mama nae alipangwa,na pia ukicheki jina la yule Mama lina asili ya kule kule Kanda pendwa.
Ila huu utaratibu wa mzee wetu kuwagawia watu pesa unakubalika sana na watz wengi ndio maana utatumika sana wakati huu wa kampeni
Watanzania wengi wanathamini mtu anayewapa pesa na sio maneno kwahiyo pesa zitagawiwa sana mbele ya macamera
Mara/Mwanza
Dar kusoma, badala ya kusikiliza masomo darasani unakazana na matangazo ya barabarani. Kwani hilo tukio limeathiri vipi masomo yako?.
Hutaki wananchi wampokee na kumpongeza Mkuu wao wa nchi?
Serikali inayokuwezesha kupata Elimu, acha kuiandika vibaya mitandaoni. Unajua gharama za kuwezesha kupata elimu we we?
Na wewe atakubariki lini?
Nyie tulishawazoea kila Mara mheshimiwa Rais anapoonesha kitu chema mbele ya jamii mnasema imepangwa kwa hiyo hata yule mama mlemavu utasema alipangwa pia
Acheni hayo mambo wakuu
Maigizo mengi sana nchi hii, hata hivyo aliyeshika mpini huwezi kushindana nae hata siku moja.
Nyie kumbe Hua hampangi mnakurupuka tuAsubuhi ya leo hapa Ubungo (maeneo ya jirani kabisa na wanapojenga Ubungo Interchange) lilipita tangazo ambalo sikulisikia vizuri ila kitu nachokumbuka katika tangazo lile ni Wananchi wa eno hili kuhusishwa na shughuli ya kumpongeza mheshimiwa kuchukua form ya kugombea.
Nilitafakari na kujiuliza nini hasa logic ya jambo hili kwa hakika sikupata jibu (kumpongeza mtu kwa kuhukua form ya kugombea) kiasi cha Wananchi kutangaziwa kuhusu shughuli hiyo ya kumpongeza.
Muda huu baada ya mimi kutoka darasani (niko masomoni tangu mwezi Oktoba mwaka jana katika chuo kimoja hapa Dar) na kupata nafasi ya kuingia hapa mtandaoni, nimekutana na thread inayomuhusu huyu Mgombea na yaliyoendelea hivyo nimepata jibu lile tangazo la leo asubuhi lilikuwa linahusu nini hasa.
Binafsi nilichogundua mambo haya hupangwa na moja ya lengo ni kupata hadhara ya watu na si kwamba huwa yanatokea pasipo maandalizi ya aina yoyote.
Kwa kipindi hiki mpaka uchaguzi upite,tutapanda nao mpaka daladala kama sio kuchimba nao mitaro ya kupitisha mabombo ya maji mitaani, n.k.
Mkuu hata kama tangazo limetangazwa ila hajalazimishwa mtu kwenda hivo kama watu hawampendi Rais wasingeenda, hivo kwa vile anakubalika basi ndo maana watu wengi wamejitokeza na wakaacha shughuli zao. Kuna watu ukimpinga unaonekana mchawi tu. Magufuli ni mmoja wao
Gharama zipi? Unadhani kila mtu anasomeshwa na bodi ya mikopo au unafikiri kila mtu anasoma vyuo vya umma, nyie ndio Askofu anawasema ujinga umewajaa.Dar kusoma, badala ya kusikiliza masomo darasani unakazana na matangazo ya barabarani. Kwani hilo tukio limeathiri vipi masomo yako?.
Hutaki wananchi wampokee na kumpongeza Mkuu wao wa nchi?
Serikali inayokuwezesha kupata Elimu, acha kuiandika vibaya mitandaoni. Unajua gharama za kuwezesha kupata elimu we we?
Elimu yenyewe ya Tanzania hii kusomea mtihani na cheti, ni bora anayelima Zabibu [emoji3]Wewe unachezea pesa za bure huko shule rudi dodoma ukalime zabibu
Ng'wanike uli mhola.Biiiliiiieeee
Ooh bheebee, ulihooo...!???
Mholaa duuhuuu, gineehee..!!Ng'wanike uli mhola.
Wabheja kulumba wa kukaya.Mholaa duuhuuu, gineehee..!!
Very low IQ ndio maana uko team hiiDar kusoma, badala ya kusikiliza masomo darasani unakazana na matangazo ya barabarani. Kwani hilo tukio limeathiri vipi masomo yako?.
Hutaki wananchi wampokee na kumpongeza Mkuu wao wa nchi?
Serikali inayokuwezesha kupata Elimu, acha kuiandika vibaya mitandaoni. Unajua gharama za kuwezesha kupata elimu we we?
Wabheja kulumba wa kukaya.
Unasoma chuo lakini hujui kwamba ili ushinde vita yoyote ni lazima uwe na mbinu bora zaidi ya mpinzani wako!!Asubuhi ya leo hapa Ubungo (maeneo ya jirani kabisa na wanapojenga Ubungo Interchange) lilipita tangazo ambalo sikulisikia vizuri ila kitu nachokumbuka katika tangazo lile ni Wananchi wa eno hili kuhusishwa na shughuli ya kumpongeza mheshimiwa kuchukua form ya kugombea.
Nilitafakari na kujiuliza nini hasa logic ya jambo hili kwa hakika sikupata jibu (kumpongeza mtu kwa kuhukua form ya kugombea) kiasi cha Wananchi kutangaziwa kuhusu shughuli hiyo ya kumpongeza.
Muda huu baada ya mimi kutoka darasani (niko masomoni tangu mwezi Oktoba mwaka jana katika chuo kimoja hapa Dar) na kupata nafasi ya kuingia hapa mtandaoni, nimekutana na thread inayomuhusu huyu Mgombea na yaliyoendelea hivyo nimepata jibu lile tangazo la leo asubuhi lilikuwa linahusu nini hasa.
Binafsi nilichogundua mambo haya hupangwa na moja ya lengo ni kupata hadhara ya watu na si kwamba huwa yanatokea pasipo maandalizi ya aina yoyote.
Kwa kipindi hiki mpaka uchaguzi upite,tutapanda nao mpaka daladala kama sio kuchimba nao mitaro ya kupitisha mabombo ya maji mitaani, n.k.
Anajua sana.Dar kusoma, badala ya kusikiliza masomo darasani unakazana na matangazo ya barabarani. Kwani hilo tukio limeathiri vipi masomo yako?.
Hutaki wananchi wampokee na kumpongeza Mkuu wao wa nchi?
Serikali inayokuwezesha kupata Elimu, acha kuiandika vibaya mitandaoni. Unajua gharama za kuwezesha kupata elimu we we?