Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #41
Hakuna mradi unaokosa changamoto zake mkuuKwa nchi hii ilivyojaa mafisadi hiyo itakuwa sawa na biashara ya DECI au Wazee wa Goodmornig
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mradi unaokosa changamoto zake mkuuKwa nchi hii ilivyojaa mafisadi hiyo itakuwa sawa na biashara ya DECI au Wazee wa Goodmornig
Bora ungehamasisha mwe ye uwezo amfungulie mwanaye account imfae mbele ya safari. Elfu 8 kila mwezi kwa kila mwanafunzi wazazi wengi hawatamudu na serikali inalifahamu hilo vinginevyo serikali isingekuja na mpango wa elimu bure.Kama umasikini ndio hoja ya msingi, mbona elimu ya juu sio bure? Alafu kumbuka kuna wazazi wanasomesha watoto kwenye private schools na bado watoto hao hao wanakuja kuomba mikopo ya elimu wanapohitimu kidato cha sita.
Wrong wrong wrongBora ungehamasisha mwe ye uwezo amfungulie mwanaye account imfae mbele ya safari. Elfu 8 kila mwezi kwa kila mwanafunzi wazazi wengi hawatamudu na serikali inalifahamu hilo vinginevyo serikali isingekuja na mpango wa elimu bure. Issue ni kuzikabili changamoto zilizopo HESLB kwa kutumia akili. Value retantion fee ifutiliwe mbali kwani hata serikali huwa haina desturi ya kulipa hiyo fee kwa madai mbalimbali ya watumishi wake.
Wapo watakaomudu vile vile wapo watakaoshindwa. Mbona katika mpango wa sasa wa elimu bure bado kuna watoto hawaendi shuleni?...Bora ungehamasisha mwe ye uwezo amfungulie mwanaye account imfae mbele ya safari. Elfu 8 kila mwezi kwa kila mwanafunzi wazazi wengi hawatamudu na serikali inalifahamu hilo vinginevyo serikali isingekuja na mpango wa elimu bure.
Ni lazima tuhakikishe ya kwamba tunapambana na mafisadi ili tujikwamue kiuchumiNi wazo, ila ni wazo zuri kwa mafisadi...
Thanks...Wazo n zur sana
Dogo mvua vp huko Dar?Thanks...
Hakuna project inayoweza kufanikiwa kwa 100% kwa maana hata katika utaratibu wa ada ya 20K kuna wengi sana waliweza kulipa pia.Kama kulipa ada ya 20k kwa mwaka ilikuwa tabu leo hii hiyo saving si utapata mtu mmoja kweny watu 100.
Umejitahidi kidogoWazo n zur sana sema hii nchi yetu haiaminik kuna mda ukifikiria nssf, unakata tamaaa. Tatizo raia hutuamin serikali yetu ndo mana inaweza kuwa ngumu...
Huyu nani tena?
Thanks. Alafu leo umenikumbusha jambo la maana sana. Hivi nini lengo la hii tozo ya SDL?...Wazo zuri sana lkn ningependa kuchangia kama ifuatavyo;
Badala ya kuwakamua wananchi ningependa kubadili matumiz ya hii kodi ya tra inayojulikana kama Skills Development Levy (SDL) .
Mkuu, hakuna jambo ambalo watanzania wooooote wanaweza kulimudu. Hata leo hii gharama za kupanda ndege za ATCL zikishushwa na kufika 70,000/= kutoka Dar mpaka Mwanza wapo watakaomudu na pia wapo watakaoshindwa kumudu kiasi hicho.Bora ungehamasisha mwe ye uwezo amfungulie mwanaye account imfae mbele ya safari. Elfu 8 kila mwezi kwa kila mwanafunzi wazazi wengi hawatamudu na serikali inalifahamu hilo vinginevyo serikali isingekuja na mpango wa elimu bure. Issue ni kuzikabili changamoto zilizopo HESLB kwa kutumia akili. Value retantion fee ifutiliwe mbali kwani hata serikali huwa haina desturi ya kulipa hiyo fee kwa madai mbalimbali ya watumishi wake.
Asante kwa wazo jema pia mkuuWazo zuri sana lkn ningependa kuchangia kama ifuatavyo;
Badala ya kuwakamua wananchi ningependa kubadili matumiz ya hii kodi ya tra inayojulikana kama Skills Development Levy (SDL) . Hii kodi kiukweli haitumiki kama ilivyokusudiwa hivyo makusanyo yake yangepelekwa HESLB yakatumika kusomeshea watoto wetu bila bugudha.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
PouwaaAsante kwa wazo jema pia mkuu
Huyo dada yangu tumbo mojaHuyu nani tena?
Umesema ukweli kabisaMkuu, hakuna jambo ambalo watanzania wooooote wanaweza kulimudu. Hata leo hii gharama za kupanda ndege za ATCL zikishushwa na kufika 70,000/= kutoka Dar mpaka Mwanza wapo watakaomudu na pia wapo watakaoshindwa kumudu kiasi hicho.
Kwa hiyo lengo la mpango huu sio kila mmoja aweze kumudu bali wengi waje kunufaika hapo baadae.
Asantee mkuuUmesema ukweli kabisa