Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

Kama umasikini ndio hoja ya msingi, mbona elimu ya juu sio bure? Alafu kumbuka kuna wazazi wanasomesha watoto kwenye private schools na bado watoto hao hao wanakuja kuomba mikopo ya elimu wanapohitimu kidato cha sita.
Bora ungehamasisha mwe ye uwezo amfungulie mwanaye account imfae mbele ya safari. Elfu 8 kila mwezi kwa kila mwanafunzi wazazi wengi hawatamudu na serikali inalifahamu hilo vinginevyo serikali isingekuja na mpango wa elimu bure.

Issue ni kuzikabili changamoto zilizopo HESLB kwa kutumia akili. Value retantion fee ifutiliwe mbali kwani hata serikali huwa haina desturi ya kulipa hiyo fee kwa madai mbalimbali ya watumishi wake.
 
Bora ungehamasisha mwe ye uwezo amfungulie mwanaye account imfae mbele ya safari. Elfu 8 kila mwezi kwa kila mwanafunzi wazazi wengi hawatamudu na serikali inalifahamu hilo vinginevyo serikali isingekuja na mpango wa elimu bure. Issue ni kuzikabili changamoto zilizopo HESLB kwa kutumia akili. Value retantion fee ifutiliwe mbali kwani hata serikali huwa haina desturi ya kulipa hiyo fee kwa madai mbalimbali ya watumishi wake.
Wrong wrong wrong
 
Bora ungehamasisha mwe ye uwezo amfungulie mwanaye account imfae mbele ya safari. Elfu 8 kila mwezi kwa kila mwanafunzi wazazi wengi hawatamudu na serikali inalifahamu hilo vinginevyo serikali isingekuja na mpango wa elimu bure.
Wapo watakaomudu vile vile wapo watakaoshindwa. Mbona katika mpango wa sasa wa elimu bure bado kuna watoto hawaendi shuleni?...
 
Wazo n zur sana sema hii nchi yetu haiaminik kuna mda ukifikiria nssf, unakata tamaaa. Tatizo raia hutuamin serikali yetu ndo mana inaweza kuwa ngumu.

Kingine watanzania hatuna tabia ya kuwekeza so unaweza pata watoto 10 kwenye watoto 100 ambao wazaz wao wako tayar.

Kingine watanzania wengi vipato vinafanya tuish kwa mazoea ya kutegemea kudra za mwenyez Mungu tu. Kama kulipa ada ya 20k kwa mwaka ilikuwa tabu leo hii hiyo saving si utapata mtu mmoja kweny watu 100.
 
Kama kulipa ada ya 20k kwa mwaka ilikuwa tabu leo hii hiyo saving si utapata mtu mmoja kweny watu 100.
Hakuna project inayoweza kufanikiwa kwa 100% kwa maana hata katika utaratibu wa ada ya 20K kuna wengi sana waliweza kulipa pia.
 
Wazo zuri sana lkn ningependa kuchangia kama ifuatavyo;

Badala ya kuwakamua wananchi ningependa kubadili matumiz ya hii kodi ya tra inayojulikana kama Skills Development Levy (SDL) . Hii kodi kiukweli haitumiki kama ilivyokusudiwa hivyo makusanyo yake yangepelekwa HESLB yakatumika kusomeshea watoto wetu bila bugudha.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Badala ya kuwakamua wananchi ningependa kubadili matumiz ya hii kodi ya tra inayojulikana kama Skills Development Levy (SDL) .
Thanks. Alafu leo umenikumbusha jambo la maana sana. Hivi nini lengo la hii tozo ya SDL?...
 
Bora ungehamasisha mwe ye uwezo amfungulie mwanaye account imfae mbele ya safari. Elfu 8 kila mwezi kwa kila mwanafunzi wazazi wengi hawatamudu na serikali inalifahamu hilo vinginevyo serikali isingekuja na mpango wa elimu bure. Issue ni kuzikabili changamoto zilizopo HESLB kwa kutumia akili. Value retantion fee ifutiliwe mbali kwani hata serikali huwa haina desturi ya kulipa hiyo fee kwa madai mbalimbali ya watumishi wake.
Mkuu, hakuna jambo ambalo watanzania wooooote wanaweza kulimudu. Hata leo hii gharama za kupanda ndege za ATCL zikishushwa na kufika 70,000/= kutoka Dar mpaka Mwanza wapo watakaomudu na pia wapo watakaoshindwa kumudu kiasi hicho.

Kwa hiyo lengo la mpango huu sio kila mmoja aweze kumudu bali wengi waje kunufaika hapo baadae.
 
Wazo zuri sana lkn ningependa kuchangia kama ifuatavyo;
Badala ya kuwakamua wananchi ningependa kubadili matumiz ya hii kodi ya tra inayojulikana kama Skills Development Levy (SDL) . Hii kodi kiukweli haitumiki kama ilivyokusudiwa hivyo makusanyo yake yangepelekwa HESLB yakatumika kusomeshea watoto wetu bila bugudha.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Asante kwa wazo jema pia mkuu
 
Mkuu, hakuna jambo ambalo watanzania wooooote wanaweza kulimudu. Hata leo hii gharama za kupanda ndege za ATCL zikishushwa na kufika 70,000/= kutoka Dar mpaka Mwanza wapo watakaomudu na pia wapo watakaoshindwa kumudu kiasi hicho.

Kwa hiyo lengo la mpango huu sio kila mmoja aweze kumudu bali wengi waje kunufaika hapo baadae.
Umesema ukweli kabisa
 
Back
Top Bottom