Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

Mkuu, hakuna jambo ambalo watanzania wooooote wanaweza kulimudu. Hata leo hii gharama za kupanda ndege za ATCL zikishushwa na kufika 70,000/= kutoka Dar mpaka Mwanza wapo watakaomudu na pia wapo watakaoshindwa kumudu kiasi hicho.

Kwa hiyo lengo la mpango huu sio kila mmoja aweze kumudu bali wengi waje kunufaika hapo baadae.
Upo logical sana mume wangu
 
Nimesoma nimekuelewa umeongea madini sana SA unaitwa na kupewa zawadi baada ya kufanya presentation yako na wakaielewa ila huko wahuni watakupinga kwa sababu wana macho kama ya jogoo...
 
Unawafahamu vizuri HESLB au unawasikia mkuu? Mi nina statement 4 toka kwao, zote zina details zangu full. Ila kila moja ina amount (deni anzia) yake tofauti.

Ukitaka uumwe kichwa nenda ofisini kwao, utakaa masaa 9 ya siku bila msaada wowote. Hapo hujapewa jibu la kuudhi.
 
Back
Top Bottom