Chai Nyeusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 347
- 312
Kama haujui lengo la SDL ulisoma kweli wewe?Thanks. Alafu leo umenikumbusha jambo la maana sana. Hivi nini lengo la hii tozo ya SDL?...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haujui lengo la SDL ulisoma kweli wewe?Thanks. Alafu leo umenikumbusha jambo la maana sana. Hivi nini lengo la hii tozo ya SDL?...
Kwani na wewe ulisoma. Punguza dharauKama haujui lengo la SDL ulisoma kweli wewe?
OkayAsantee mkuu
Soja ndio muongo mkuu wa humu JFUmesema ukweli kabisa
Acha maskhara sheikhHuyo dada yangu tumbo moja
Asante kwa kushukuruAsante kwa wazo jema pia mkuu
Upo logical sana mume wanguMkuu, hakuna jambo ambalo watanzania wooooote wanaweza kulimudu. Hata leo hii gharama za kupanda ndege za ATCL zikishushwa na kufika 70,000/= kutoka Dar mpaka Mwanza wapo watakaomudu na pia wapo watakaoshindwa kumudu kiasi hicho.
Kwa hiyo lengo la mpango huu sio kila mmoja aweze kumudu bali wengi waje kunufaika hapo baadae.
Soja mumeo tangia lini wee dada?Upo logical sana mume wangu
mhhhAsante kwa kushukuru
Sheikh na Ustadhi wana tofauti gani?Acha maskhara sheikh
Soja mshamba sana anajua tupo kwao Tarime hapa analeta ubabe ubabeSoja ndio muongo mkuu wa humu JF
SawaOkay
Ngoja waje kukupa muongozoSoja mshamba sana anajua tupo kwao Tarime hapa analeta ubabe ubabe
Hao wote ni viongozi wa kidiniSheikh na Ustadhi wana tofauti gani?
Daaah, pole sana mkuu...Unawafahamu vizuri HESLB au unawasikia mkuu? Mi nina statement 4 toka kwao, zote zina details zangu full. Ila kila moja ina amount (deni anzia) yake tofauti.
Unagunaguna nini sasa wee jamaa? Ina maana hauna imani na anayosema huyo msela?mhhh
Zamani huyo dada alikuwaga demu wanguSoja mumeo tangia lini wee dada?