Kwani Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) haiwezi kuwa na accounts za malengo kwa wanafunzi wa darasa la kwanza?

Upo logical sana mume wangu
 
Nimesoma nimekuelewa umeongea madini sana SA unaitwa na kupewa zawadi baada ya kufanya presentation yako na wakaielewa ila huko wahuni watakupinga kwa sababu wana macho kama ya jogoo...
 
Unawafahamu vizuri HESLB au unawasikia mkuu? Mi nina statement 4 toka kwao, zote zina details zangu full. Ila kila moja ina amount (deni anzia) yake tofauti.

Ukitaka uumwe kichwa nenda ofisini kwao, utakaa masaa 9 ya siku bila msaada wowote. Hapo hujapewa jibu la kuudhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…