Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

Unataka vipi suala la mkataba lisihusishwe na dini wakati unaposema hivyo uko pembeni mwa Askofu?
Kwani Askofu anazuiwa na nani kutoa maoni yake? Mafundisho ya dini yanakemea rushwa, na wale wahuni waliosaini wana dini zao na walikula rushwa, hawateeki kamwe.
 
Kwani Askofu anazuiwa na nani kutoa maoni yake? Mafundisho ya dini yanakemea rushwa, na wale wahuni waliosaini wana dini zao na walikula rushwa, hawateeki kamwe.
Askofu anatoaje maoni yake bila kuleta maswali kwamba suala hili ni la udini?

Madeleka kasema hili suala ni la kisheria, habari za imani acheni kanisani, mbona hata sheria nazo hazikubali rushwa? Kwa nini tusikemee rushwa ki secular kwa sheria bila kuhusisha dini?

Huoni kukemea rushwa kidini wakati mmeshasema mambo ya imani acheni kanisani ni contradiction?

Kama mafundisho ya kidini yanakemea rushwa, na wale wana dini zao wamekula rushwa, huoni kwamba mafundisho ya kidini hayasikilizwi, tunatakiwa kujenga legal case na kuwashitaki watu kisheria bila kutegemea dini?
 
Ole Mushi huwa unakosea sana unapodhani kuwa siku zote wakati wote mawazo yako huwa ni sahihi. Hapa na wewe umekosea sana kwa hili andiko lako. Kwanini utangulie kuiona dini ya mtu kabla ya utu wake? Kuna taarifa umeletewa kuwa kuna watu wa Islam wamenyimwa nafasi ya kutoka mawazo yao katika mkutano huo kwasababu ya dini yao?

Wewe mwenyewe unaonekana unao sana udini kwasababu umeweza hata kuwahesabu washiriki kwa majina au dini zao. Kwanini unadhani palitakiwa kuwepo balance ya dini? Mgema akisifiwa sana......
 
Hii nchi kuna wapumbavu wanaamini kuna dhehebu linaloiendesha.
 
Taasisi yenye watu makini na wenye kusudi la kushika dollar hawawezi kupuuza angalizo hili nyeti lisiloonekana kirahisi. Italifanyia kazi japo sio Lazima iwe kesho au keshokutwa ili kuleta umoja imara na kuepusha minong'ono
 
Hii nchi kwa akili kama yako tutasubori sana. Kwani askofu anatoa maoni kama askofu au kama mwananchi? Kwahiyo kama mtu ni askofu anakosa haki ya kuwa mwananchi? Ccm imefanikiwa sana kwenye hili eneo.....
 
Kwani nyie mnaitakia mema Tanzania? Mnakoelekea hata hamkujui, wenzenu wanapakukimbilia.
Ubelgiji ana bangalow, na mwenzangu mimi utakimbilia wapi?
 
hawana ujanja kabisa, kesi yao ya Mbeya mbona hawaiongelei tena?

Nasikia mawakili uchwara walikula fimbo usiku hawajuwi zinapotokea.
Hakuna kesi pale, jifurahisheni tu. Wala hakuna cha kupoteza muda kuzungumzia kesi ile. Wasiokuwa na muda ndio waende huko mahakamani na kuandika hapa JF.
 
Tatizo siasa sijui mmeanza kufuatilia juzi, nani asiyemjua Askofu Mwamakula?, Na Padri Kitima je, vipi kuhusu Dkt Slaa? Yaani hata kama huna kumbukumbu basi hata google tu uone harakati zao since wayback na changamoto walizopitia kabla ya kuongea Shudu kuwa wameibukia kwenye huu mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…