Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

Naam,

Na kwa kuzingatia hili, u Askofu wa mtu ni irrelevant katika suala la sheria kwenye nchi secular.

Zaidi, ni suala litakaloleta distraction za udini.

Kwa nini hili linakuwa gumu kueleweka?
Kwanini lilete distraction kwani Askofu hawezi kuwa na facts?!

Wewe ndie mwenye tatizo kwenye maono yako, vua hilo koti la udini, kasikilize hoja.

Askofu haendi Temeke kuendesha ibada, amka, bado umelala kifikra.
 
Kelele za chura tu hizo.
Hamna lolote mnaloweza kufanya kubadili maamuzi.
Hapa nahisi mshamaliza wasemaji wote.
 
Rasilimali za nchi haziwezi kuachwa zichezewe na mjinga kisha tunyamaze kwa kivuli cha dini, wote wanaomuunga mkono Samia kwenye hili ni wasaliti, hawatasubiriwa, lazima tusonge mbele.
Kelele za chura tu hizo
 
Hii sio bahati mbaya.
Na wala issue sio mkataba.
Hapa ni udini tu.
Mnajitahidi wenyewe kuonesha eti la wote lkn kila mpingaji mnayemwalika mikutanoni ni Mgala tu.
Hata Mahakamani walioshitaki ni Wagalatia hao hao
 
Taasisi yenye watu makini na wenye kusudi la kushika dollar hawawezi kupuuza angalizo hili nyeti lisiloonekana kirahisi. Italifanyia kazi japo sio Lazima iwe kesho au keshokutwa ili kuleta umoja imara na kuepusha minong'ono
Bado wanabisha!
Wametutia mashaka ht wengine wameanza kurudi nyuma kwa kuhisi hii issue ni ya Wakristo tu
 
Mwanzoni nilidhani wanaopinga uwekezaji bandarini wana hoja ya maana ya kusikilizwa na kufanyiwa kazi.

Baadae nimekuja kugundua kuwa ni sera chafu sana za udini zimejificha nyuma ya suala zima la bandari kupata mwekezaji.

Kwamba Samia, Mbarawa, Dr Possi, Hamza na wanasheria wengine pamoja na mwekezaji kutoka Dubai, wote kwa ujumla wao ni waislam hivyo maaskofu na mapadre wameamua kumpinga kwa nguvu zote!. HELL NO.

Hawa wote wanaopinga uwekezaji kuanzia hao maaskofu mpaka wanasheria akiwemo Mwabukusi wana agenda mbaya na inaweza kuligawa taifa vipande vipande kama wataachwa wasambaze chuki zao.

Hawana hoja yoyote kuhusu bandari ambayo haijajibiwa, wanapoongea juu ya utanganyika mfano huyo Mwabukusi akumbuke tu kuwa mikoa yote ya mwambao imejaa waislam wengi, Mtwara, Lindi, Pwani, Dar na Tanga, kote humo pamejaa waislam.

Hata kwao Mbeya kuna waislam wengi hivyo asidhani kuwa ni mzalendo kwa kuja na mada inayoweza kuichanachana Tanzania iliyojengwa kwa hekima kubwa ya waasisi wetu.

Huu ndio muda wa jamaa wa geti jeusi kuingia kazini.
 
Mbona mama yenu alianza kusema kuwa tunamuonea kwasababu yeye ni muislamu
Wapuuzi kama huyo Mwabukusi wanasambaza chuki na inaweza kuwaumiza wao wenyewe.

Marehemu Mtikila alisambaza sana chuki dhidi ya wahindi kwa kuwaita magabocholi, mfumo ulikuja kummaliza pale Chalinze.

Huyo mnyakyusa achunge sana mdomo wake.
 
Umekosea.wanakuja kama Watanzania wa kawaida na si kama viongozi wa dini. Kuwa kiongozi wa dini haikunyimi kuzungumzia mustakabali wa nchi yako kama mzalendo wa kawaida.
 
Mwanaharakati umeshindwa kuusoma mchezo unaoendelea. Hunchingson kampuni ya Korea imekaa hapo bandarini miaka 22 hata siku moja hakujawahi kusikika hisia za kuupinga uwekezaji wake.

Anapokuja mwarabu kutoka Dubai ndio zinazaliwa hoja za kipuuzi za kukumbushana mateso ya ukoloni miaka zaidi ya 150 iliyopita!.

Picha pana ya ufanisi wa bandari inawekwa pembeni na mada inajikita kwenye haiba za mwekezaji badala ya kutazama kile anachokwenda kukileta!.

Hao maaskofu wanazo zile fikra kwamba mwarabu ni muislam hivyo ni mpinga kristo moja kwa moja!.

Wanasahau kwamba DPW yupo huko huko lilipo chimbuko la ukristo wao, Uingereza, USA, China kote huko yupo huyu mwekezaji.
 
Waambie walioandaa hilo kongamano waachane na kujificha nyuma ya bandari na suala zima la DPW kupenyeza ajenda zao mbaya dhidi ya urais wa Samia.
 
Umekosea.wanakuja kama Watanzania wa kawaida na si kama viongozi wa dini. Kuwa kiongozi wa dini haikunyimi kuzungumzia mustakabali wa nchi yako kama mzalendo wa kawaida.
Walikuwa wapi kuongelea masuala ya siasa miaka ile wakati bandari ikiwa chini ya TICTS?.

Harufu ya udini haiwezi kukwepeka katika suala hili la mkutano wa hadhara.
 
Kwani Mkataba wa bandari ni wa dini ya kiislam. Maana viongozi wa dini pekee wanaoutetea ni kutoka dini ya kiislam
Kama mmeamua kutumia ujinga kama silaha bora kiumane tu. Analeta mambo ya kingese huyu Ole Mushi.
 
Labda nikuulize dada yangu Muisilamu mwenzangu,hivi watu wanapinga kubinafsisha bandari au wanapinga baadhi ya vipengere vya ubinafsishaji? Tuanze hapo
Hivyo vipengele vya mkataba vimeshafafanuliwa kwa kirefu kwenye mikutano kadhaa ya hadhara. Wanatumia jukwaa la kisiasa kuja na ajenda za udini. Mfano wa fikra zao ni Askofu Maximilian na mahabiri yake yanayojaa ubaguzi.
 
Ole Thadei ni mpuuzi pia ana viashiria vya upumbavu
 
Kwani Mkataba wa bandari ni wa dini ya kiislam. Maana viongozi wa dini pekee wanaoutetea ni kutoka dini ya kiislam
Kama mmeamua kutumia ujinga kama silaha bora kiumane tu. Analeta mambo ya kingese huyu Ole Mushi.
Unaweza kuhandle ugomvi na waislam kiongozi wangu?

CHADEMA lazima wajitofautishe na UDINI na huo ndio ukweli.
 
Hivyo vipengele vya mkataba vimeshafafanuliwa kwa kirefu kwenye mikutano kadhaa ya hadhara. Wanatumia jukwaa la kisiasa kuja na ajenda za udini. Mfano wa fikra zao ni Askofu Maximilian na mahabiri yake yanayojaa ubaguzi.
Ok mkataba utakuwa wa mda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…