figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kiongozi anaingia madarakani kwa kuua watu. Kachaguliwa na nani. Hebu nambie Jimbo la Ubungo huyo kiongozi wako wa mchongo kapata kura ngapi. Huyu ni Mzanzibari wa kizimkazi.. Mnaotegemea mabaki ya ugali kwenye meza yake ndo mnamuona kiongozi wa taifaLugha kama hizi kwa viongozi wetu wa kitaifa hazifai
Eda ya mume yupi? Eda angeapisha watu? Angejua kuna Eda watu wangekufa 29.10.2025?Si yupo eda wazee!
Huyu hana aibu. Ni Eda. Huyu kama Id Amin, hana aibu katu! Actually IPU wangelikuwa na busara ya kawaida, wasingelileta mkutano hapa ambako democracy ni ZERO and groß.human rights violationsAnaona aibu kwa yaliyotokea 29.10.2025. Na bado
Wabunge wamekosa sehemu nzuri ya kuswalia ndiyo maana mbunge wa Arusha kaja na wazo la kujenga msikiti wenye hadhi jimboni mwake.View attachment 3684845
Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuimarisha nafasi ya mabunge katika kushughulikia changamoto za dunia, akisema mvutano wa kisiasa na kijiografia, migogoro na kutokuwa na uhakika kiuchumi vinazidi kuhitaji ushirikiano wa kimataifa.
Ujumbe huo wa Samia ameutoa usiku wa leo Jumatatu Oktoba 5, 2026, kwa njia ya video wakati wa Mkutano wa 153 wa IPU unaofanyika jijini Arusha. Katika ukumbi.
Samia amewakilishwa llive na Mwigulu Nchemba huku yeye akitumia zoom🤣
Rais Samia amesema kaulimbiu ya mkutano huo ya: "Kuimarisha utawala bora na kuwezesha jamii kupitia ujumuishi, imani na fursa kwa wote," inaendana kwa kiasi kikubwa na hali ya dunia kwa sasa.
Amesema dunia inakabiliwa na sintofahamu za kisiasa na kijiografia, migogoro ya muda mrefu pamoja na changamoto za kijamii na kiuchumi zinazodhoofisha jitihada za kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu.
MY TAKE
Anaona aibu kwa yaliyotokea 29.10.2025. Na bado..
Wabunge wa Dunia nzima wapo Arusha Tanzania. Na yeye aliwahidi kwamba atafuungua mkutano wao. Lakini kaishia kumtuma Mwigulu. Yeye kaongea kwa zoom.
Kaanza kuishi kama digidigi.. Anaogopa hata kukutana na dunia.. Bila shaka anajutia kilichofanyika.. Atajificha hadi lini?
Swali : Mbona kama afya yake mgogoro?
View attachment 3684845

Si yupo eda wazee! Huyu mama utawala wake una misukosuko sana, mara hiki mara kile. Ingekuwa kitaani kwa lugha zetu za kihuni, tungezema ana kim*v*.
Ama kwa hakika,View attachment 3684845

Kwa Dunia ya Sasa na Technology kuwepo siyo lazima uwepo physically ame participate kwa njia ya video inatosha
Mbona nyie hamkuwaacha watu wakaomboleza mkuu!?Lugha kama hizi kwa viongozi wetu wa kitaifa hazifai siasa mnazofanya ni siasa za kijinga sana mtu anaomboleza unaleta uchoko wako hapa
USSR
Kwamba hao wabunge wameshindwa kutumia tech au sio? 😂😂Kabisa mkuu Duniani inaenda kitechnology kwasasa
Kama Sababu za ziada za kwenda Arusha hakuna kwasasa basi tunatumia Technology tu mana wanye jambo lao wapo ✍️