Kwani Korona imerudi? Samia ahutubia Bunge la IPU Arusha kwa njia ya Video🤣🤣

Kwani Korona imerudi? Samia ahutubia Bunge la IPU Arusha kwa njia ya Video🤣🤣

Kwa Dunia ya Sasa na Technology kuwepo siyo lazima uwepo physically ame participate kwa njia ya video inatosha
Mbona hafanyi hivyo kwenye miradi alokula 10%. Kila siku Uzinduzi Mgeni Rasmi. Kwanini anaenda wakati Technology ipo?

Pili Kwanini amtumie Mwigulu amuwakikishe kama teknolojia ina umuhimu?
 
Kiongozi anaingia madarakani kwa kuua watu. Kachaguliwa na nani. Hebu nambie Jimbo la Ubungo huyo kiongozi wako wa mchongo kapata kura ngapi. Huyu ni Mzanzibari wa kizimkazi.. Mnaotegemea mabaki ya ugali kwenye meza yake ndo mnamuona kiongozi wa taifa
Ningesema maliza hasira kabisa kwa povu hili. Lkn no way utabaki umenuna hivyo hivyo ila huna unachoweza kubadili zaidi ya kujizeesha kabla ya muda wako
 
Huyu hana aibu. Ni Eda. Huyu kama Id Amin, hana aibu katu! Actually IPU wangelikuwa na busara ya kawaida, wasingelileta mkutano hapa ambako democracy ni ZERO and groß.human rights violations
IPU sio CHADEMA mnaoteseka
 
Mbona hafanyi hivyo kwenye miradi alokula 10%. Kila siku Uzinduzi Mgeni Rasmi. Kwanini anaenda wakati Technology ipo?

Pili Kwanini amtumie Mwigulu amuwakikishe kama teknolojia ina umuhimu?
Mlishakubaliana kutomtambua Samia kama Rais, sasa mbona wahangaika sana kumpangia pa kwenda na cha kufanya!?
 
Kama alijua yupo Eda, kwanini alikuwa anakumbatiana na wanaume? Kwanini alienda kuapisha mawaziri? Kwanini alitufokea?
We nuna, vimba, fura mpaka upasuke Samia ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu utake usitake unless utuoneshe Rais mwingine anayekula kodi zetu
 
View attachment 3684845
Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuimarisha nafasi ya mabunge katika kushughulikia changamoto za dunia, akisema mvutano wa kisiasa na kijiografia, migogoro na kutokuwa na uhakika kiuchumi vinazidi kuhitaji ushirikiano wa kimataifa.

Ujumbe huo wa Samia ameutoa usiku wa leo Jumatatu Oktoba 5, 2026, kwa njia ya video wakati wa Mkutano wa 153 wa IPU unaofanyika jijini Arusha. Katika ukumbi.

Samia amewakilishwa llive na Mwigulu Nchemba huku yeye akitumia zoom🤣

Rais Samia amesema kaulimbiu ya mkutano huo ya: "Kuimarisha utawala bora na kuwezesha jamii kupitia ujumuishi, imani na fursa kwa wote," inaendana kwa kiasi kikubwa na hali ya dunia kwa sasa.

Amesema dunia inakabiliwa na sintofahamu za kisiasa na kijiografia, migogoro ya muda mrefu pamoja na changamoto za kijamii na kiuchumi zinazodhoofisha jitihada za kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu.

MY TAKE
Anaona aibu kwa yaliyotokea 29.10.2025. Na bado..

Wabunge wa Dunia nzima wapo Arusha Tanzania. Na yeye aliwahidi kwamba atafuungua mkutano wao. Lakini kaishia kumtuma Mwigulu. Yeye kaongea kwa zoom.

Kaanza kuishi kama digidigi.. Anaogopa hata kukutana na dunia.. Bila shaka anajutia kilichofanyika.. Atajificha hadi lini?

Swali : Mbona kama afya yake mgogoro?
Hapo TV iliwekwa mbele yake ili asome sentensi moja baada ya nyingine.
Ovyo sana huyo mtu!
 
Lugha kama hizi kwa viongozi wetu wa kitaifa hazifai siasa mnazofanya ni siasa za kijinga sana mtu anaomboleza unaleta uchoko wako hapa

USSR
Je na wale waliopoteza ndugu zao October 29?
 
Back
Top Bottom