Kwani Korona imerudi? Samia ahutubia Bunge la IPU Arusha kwa njia ya Video🤣🤣

Kwa Dunia ya Sasa na Technology kuwepo siyo lazima uwepo physically ame participate kwa njia ya video inatosha
Mbona hafanyi hivyo kwenye miradi alokula 10%. Kila siku Uzinduzi Mgeni Rasmi. Kwanini anaenda wakati Technology ipo?

Pili Kwanini amtumie Mwigulu amuwakikishe kama teknolojia ina umuhimu?
 
Ningesema maliza hasira kabisa kwa povu hili. Lkn no way utabaki umenuna hivyo hivyo ila huna unachoweza kubadili zaidi ya kujizeesha kabla ya muda wako
 
Huyu hana aibu. Ni Eda. Huyu kama Id Amin, hana aibu katu! Actually IPU wangelikuwa na busara ya kawaida, wasingelileta mkutano hapa ambako democracy ni ZERO and groß.human rights violations
IPU sio CHADEMA mnaoteseka
 
Mbona hafanyi hivyo kwenye miradi alokula 10%. Kila siku Uzinduzi Mgeni Rasmi. Kwanini anaenda wakati Technology ipo?

Pili Kwanini amtumie Mwigulu amuwakikishe kama teknolojia ina umuhimu?
Mlishakubaliana kutomtambua Samia kama Rais, sasa mbona wahangaika sana kumpangia pa kwenda na cha kufanya!?
 
Kama alijua yupo Eda, kwanini alikuwa anakumbatiana na wanaume? Kwanini alienda kuapisha mawaziri? Kwanini alitufokea?
We nuna, vimba, fura mpaka upasuke Samia ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu utake usitake unless utuoneshe Rais mwingine anayekula kodi zetu
 
Hapo TV iliwekwa mbele yake ili asome sentensi moja baada ya nyingine.
Ovyo sana huyo mtu!
 
Lugha kama hizi kwa viongozi wetu wa kitaifa hazifai siasa mnazofanya ni siasa za kijinga sana mtu anaomboleza unaleta uchoko wako hapa

USSR
Je na wale waliopoteza ndugu zao October 29?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…