Kosa lake ni kusema ukweli. Kumbuka, nchi inaongozwa na genge la majambazi.Yaani kwamba amekosea kuongea ukweli?au alitakiwa kukaa kimya aache tu watu waendelee kutekwa na kushambuliwa?
Watanzania au watanganyika?Kosa la Gwajima ni kutumia akili yake vizuri kwa kujenga hoja zinazogusa jamii ya Watanzania kipindi hiki.
Yaani kwamba amekosea kuongea ukweli? au alitakiwa kukaa kimya aache tu watu waendelee kutekwa na kushambuliwa?
Usishangae anapewa jimbo huyo bwana mahips, maana huko ccm ujinga/uchawa ndio mtaji.